01/01/2026
Uongozi, walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Himo wanawatakia jumuiya yote ya Wanahimo Sec Heri ya Mwaka Mpya 2026.
Uwe mwaka wa mafanikio, mshikamano na maendeleo zaidi.
Heri ya Mwaka Mpya 2026!