21/12/2025
Ujasiri wa kusimama mbele ya hadhira unahitaji zaidi ya maandalizi ya somo tu; unahitaji uthubutu wa kuruhusu sauti yako isikike na ushujaa wa kuonekana wakati unapopiga hatua kuelekea ukuaji.
Je, wajua moyo wa mamalia ndani ya siku moja tu, huzalisha nishati ya kutosha kuendesha basi kubwa kwa umbali wa kilometa 32? Katika kipindi cha wastani cha maisha ya binadamu, moyo wako huzalisha nguvu ghafi inayoweza kuliendesha basi hilo hilo kwenda mwezini na kurudi! π
The audacity to stand before an audience requires more than just a prepared script; it takes the courage to let your voice be heard and the bravery to be seen in your moment of growth.
Did you know the mammalian heart creates enough energy to power a large bus for32km in just one day? Over an average human lifetime, your heart generates enough raw power to drive that same bus to the moon and back! π
, # TheRoyalSchoolHimo "