Lyambamgongo Sec School

Lyambamgongo Sec School

To all workers and students ever studied here, lets keep our memories together.... ��

Operating as usual

[02/16/21]   Familia ya Lyamba inazidi kukua kwa kasi
500+ members

Thanks for the love and support

Photos from Lyambamgongo Sec School's post 31/01/2021

Matokeo ya kazi nzuri na ushirikiano wa kutosha kati ya waalimu na wanafunzi.!!
Kongole za kutosha kwa jamii nzima ya Lyambamgongo Sec
Division I -- 10 form four
Division I -- 14 form two si kazi ndogo

31/12/2020

Ahsante kwa kuwa nasi kwa mwaka mzima uliopita,
Karibu 2021 kwa pamoja tusukume mbele gurudumu hili la Elimu
#heri_ya_mwaka_mpya_2021

24/12/2020

Katika kipindi iki cha mwisho wa mwaka tunapenda kukushukuru wewe mdau wa elimu na kipenzi cha Lyambamgongo kwa kuwa nasi,
Ahsante kwa ushirikiano uliouonesha.
Tunakutakia heri katika kipindi hiki cha skukuu.
#merrychristmas2020

15/10/2020

Michezo ni afya, michezo ni kafahamiana na kudumisha umoja...!!!
Kikosi kazi tayar kwa ajili ya kuweka heshima ugenini
Lyambamgongo in Iyogelo Sec

11/01/2020

Hongera sana vijana wangu, mnazidi kutuonesha kuwa kazi tunayoifanya si bure
#hongera Wilbroad kwa A ya mathematics hii ni ya kwanza
#hongera za nguvu kwa EDWARD LUKANKA kwa DIV I point 7
#hongera za kipekee kwa binti MELINA NICHOLOUS kwa DIV I point 7

Kwa vijana wote wenye DIV I, we salute...!!!

17/10/2019

"On this graduation day, we wish for you all good things that life can offer. May this day be a milestone that will bring you fond memories and may your future be brighter than this day."
Hongera sana vijana wangu kwa hatua hii mliofikia, wote tunatambua haikua kazi rahisi
#Graduation_form_iv_2019
#Congratulations..!

23/08/2019

Michezo ni afya
Michezo ni burudani
Michezo ni urafiki na huleta umoja pia
Mechi kati ya Lyambamgongo sec vs Iyogero sec imemalizika vyema.
Karibuni sana Lyambamgongo sec

05/04/2019

Kikosi cha maangamizi

24/01/2019

Vijana wanaendelea kufanya vizuri
Tumezisubiri mno hizo Div I
👍 Hongereni sana vijana
All the best maishani

[12/22/18]   Napenda kuwataarifu wanafunzi wanaotarajia kijiunga Form One mwaka 2019 kuwa Joining instructions zipo tayari.
Wasiliana nasi

13/11/2018

Lyambamgongo Sec School's cover photo

19/10/2018

Kwakweli haikua rahisi kuifikia siku hii ya leo, mlianza kidato cha kwanza mkiwa wengi ila nyie ndio mashujaa mlioipigana vita hyo hadi mwisho.
Hongera FORM IV 2018 kwa kuhitimu, Mungu awatangulie katika maisha yenu.👏🏾👏🏾👏🏾

22/03/2018

Katika maandaliz kuandaaa taifa la kesho
#taifa_lenye_nguvu
#Getting_ready_for_FTNA

30/01/2018

Results are out and that is the outcome of our efforts.......
Hongereni sana wanafunzi wangu...

14/01/2018

Matokeo kidato cha pili

[12/24/17]   Kwa niaba ya Taasis nzima ya Lyambamgongo Sec School tunapenda kutumia nafasi hii kuwashukuru wote mliokua nasi na support mliotuonesha kwa mwaka mzima wa 2017, tunawatakia heri ya Christmas na mwaka mpya 2018..
Endelea kua nas

19/10/2017

Uzinduz wa Lyamba Fema Club, kwa mara ya kwanza baada ya mda mrefu tumeamua ku-launch platform kwa ajili ya vijana kuzunguza na kushare vitu vinavyowahusu....
Fema ndio sehemu pekee inayompa kijana nafasi ya kujadili na kutatua mambo yanayomuhusu diplomatically.
#feminahip

10/09/2017

As you unite in a marriage,
wishing you love, wishing you courage,
May your life be full of joy and God shine his light on your way!
Congratulations Malele & Nganashe

23/08/2017

Hongera 👏hongera 👏hongera 👏..!!!
Nnapenda kuwapa taarifa kua majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kupitia chaguo la pili yametoka na Lyambamgongo Sec School imefanikiwa kutoa wanafunzi wengine watano....... Neno moja tu kwao na kwetu pia

14/06/2017

Lyambamgongo Sec School

14/06/2017

Lyambamgongo Sec School's cover photo

Location

Category

Telephone

Address

Bukombe
Geita
Other Education in Geita (show all)
GADO org GADO org
Nyankumbu/Geita
Geita, +255752333720

Nyankumbu. 1.kutoa elimu na mafunzo ya ufundi kwa jamii 2.kupunguza umasikini kwa jamii 3.kujenga maadili ya jamii 4.kutoa Huduma za afya

Benedict.Kufutwa. Benedict.Kufutwa.
P.o.box.51
Geita

SANT.JOHN`S UNIVERSITY OF TANZANIA

Goldknoll College of Business Goldknoll College of Business
B 163
Geita, 267

Goldknoll College is private owned institution that offers Advanced Studies in Computer Applications, Entrepreneurship, Business Management & Economics.