Nyang'hwale vs busolwa

Nyang'hwale vs busolwa kukomaa kisiasa nchini

Kipimo cha maji kila aina ya uzito
29/03/2019

Kipimo cha maji kila aina ya uzito

Nipo nkifanya video wapendwa wangu pamoja sana
27/06/2018

Nipo nkifanya video wapendwa wangu pamoja sana

Jaman bibi yenu sawa!
04/03/2018

Jaman bibi yenu sawa!

HISTORY HARIS YA WAHAYA
10/08/2017

HISTORY HARIS YA WAHAYA

Jaman kma huna uwezo c ukubali tuu
04/08/2017

Jaman kma huna uwezo c ukubali tuu

SIZITAKI MBICHI HIZI

Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mk-Ia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio k**a hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.

UNAKUMBUKA WAPI?
Tunaweza ku-share ili na wengine waje kujikumbusha pamoja nasi.

11/06/2017

UPENDO NI TIBA KUU YA NDOA, UVUMILIVU NI MSINGI THABIT WA NDOA......... ILA KUBAL KILA MTU ANAMAPUNGUFU YAKE ITAKUSAIDIA':

04/10/2016
Naipenda SIMBA yangu japo baaz ya marefa bhana duuh nivimoda kabisa  twende like k**a unaipenda SIMBA.....
01/10/2016

Naipenda SIMBA yangu japo baaz ya marefa bhana duuh nivimoda kabisa

twende like k**a unaipenda SIMBA.....

29/09/2016

wa2 wengne bhana duh ama kwel waliumbwa kuongea hata uwafanyie jambo jema namna gan lakn lazma waponde 2

@@@@@@@@@:
chapa kaz rais we2 mh John Pombe Magufuli

23/09/2016

hayawiii yatakuwa kma kawa kma dawa yanga lazma akeeee.......2nde like kma unampenda msmbaz

06/01/2016

Mimi nashangaa et watu wamekuwa wakimponda rais JP Mangufuli hii kutokana tu na itikadi ya chama
Jaman tuachen itkadi coz siasa badae sasa hv tunachokiitaj ni maendeleo katka nchi yetu, tumpen sapoti kiongoz wetu maana yeye ndo mkombozi wa watanzania. Mungu ibariki Tanzania

26/10/2015

nyang'hwale npen matokeo ya uchaguz

Address

Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyang'hwale vs busolwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category