Jifunze Kiingereza Fasaha.

Jifunze Kiingereza Fasaha. • English.

16/08/2024

Weka Namba yako ya Whatsapp Niku-unge katika Group la English Pronounciation.

16/08/2024
09/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
Lenient ~ /'liːniənt/, - (upole/huruma/maamuzi magumu/yasiyotarajiwa kuwa).

🌼 - {maamuzi magumu}.
- They believe that judges are too lenient with terrorist suspects.
- wao wana-amini kwamba mahakimu wanatoa hukumu mbaya zaidi kwa ma-ghaini/ma-gaidi.

🌼 - {maamuzi magumu/isiyotarajiwa kuwa}.
- The judge was far too lenient with him.
- hakimu alienda mbali zaidi kima-amuzi (hukumu yenye ku-umiza).

👉Tunga sentensi yenye neno "Lenient".

09/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
obscure -/əb'skjʊə/, - isiyo kumbukwa/isiyojulikanwa/kuficha.

🏵️ - {kuficha}.
his answers were obscure and confusinɡ.
- majawabu yake aliyaficha na yenye kuchanganya.

🏵️ - {kificha}.
The sun was obscured by clouds.
- jua ilifichwa na mawingu.

🏵️ - {kumbukumbu isiyokumbukwa}.
he was born on around of 1944 but his oriɡins remain obscure.
- Amezaliwa mwaka 1944 lakini uhalisia wake haujulilanwi.

🏵️ - {kuficha}.
difficult to understand I found her lecture very obscure.
- ngumu kufahamu, nimeipata barua yake ikiwa imefichwa.

🏵️ - {kuficha}.
The contracts are written in obscure language.
Mikataba imeandikwa kwa lugha fichwa.

👉 weka sentensi yako yenye neno peculiar.

09/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
peculiar ~ /pɪkju'liə/, - /ngeni/ya zamani/laghaja ya lugha fulani/mzaha/u-pekee(makhsusi/

🏵️ - {mzaha/makhsusi}.
she has a very peculiar sense of humour.
- yeye ana-mzaha wake peke yake.

🌼 - {upekee/makhsusi}.
we have our own peculiar way of doinɡ thinɡs.
- sisi tuna-njia yetu makhsusi ya kufanya vitu.

🌻 - {upekee/tofauti}.
she has the most peculiar idea.
- yeye ana-mawazo yake pekee.

🌺 - {ngeni/laghaja ngen}.
he has peculiar tonɡue not the tonɡue of this city.
- yeye ana-laghaja(lugha) ngeni sio lugha ya mji huu.

👉 weka sentensi yako yenye neno peculiar.

09/06/2024

Pronounciation - Matamshi.

1) peculiar ~ /pɪ'kju'liɚ(ə)/.
2) obscure ~ /əb'skjʊə/.
3) fleshy ~ /'fleʃi/.
4) lenient ~ /'liːniənt/
5) aisle ~ /aɪl/.

6) coɡ ~ /kɒɡ/.
7) curt ~ /kɜːt/.
8) pinwheel ~ /'pɪnwiːl/.
9) hem ~ /'hem/.
10) swamp ~ /swɒmp/.

je! awali uliyatamkaje maneno hayo?.

08/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
brim ~ /brɪm/, - (kujaa/ukingo/ukanda).

🌺 - {kujaa/ukingo/kingo}.
Don't fills my glass of water to the brim.
- usinijazie bilauri yangu ya maji mpaka juu (ukingo).

🌺 - {ukanda/mkanda}.
I needs to buy that cup with red brim.
- ninahitaji kununua hiyo kofia nyenye mkanda mwekundu.

🌺 - {unazo/kingo}.
She poured the ice-cream until it reaches the brim.
- amejaza barafu mpaka katika ukingo.

08/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
disparage ~ /dɪ'spæridʒ/, - (kushusha thamani/kukosoa/maneno ya kashfa).

🌼 - {kushusha thamani/maneno ya kashfa}.
He spoke disparagingly of his political opppnent.
- amemtupia maneno ya kashfa mpinzi mweza wa siasa.
(amemshusha thamani mpinzani wake).

🌼 - {kukosoa}.
I don't mean to disparage your achievemens.
- sina maana ya kukosoa mafanikio yako.

08/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
prone ~ /proəʊn/ ~ /prəʊn/, - {kifudifudi/kusumbuka/kufanya jambo baya/kumbukumbu/kuanguka}.

🌻 - {kifudifudi}.
The victim lay prone without moving.
- mgonjwa analala kifudifudi bila ya kusogea.

🌻 - {maumivu}.
He was found lying in a prone position.
- alikutwa amelala kifudifudi akiugulia maumivu.

🌻 - {kusumbuka/maumivu}.
I am prone to headaches.
- nina sumbuliwa na maumivu ya kichwa.

🌻 - {kumbukumbu/kufanya jambo baya}.
He is prone to forgetting things.
- anasumbuliwa na tatizo la kukumbuka vitu.

🌻 - {kuanguka}.
A child prone to mischief.
- mtoto huanguka kwa bahati mbaya.
- (Isivyobahati mtoto huanguka).

08/06/2024

Word with ~ (Meanings) - Neno na Maana.

The word,
lash ~ /læʃ/. - (kupiga kwa Hasira/kupiga kwa nguvu/kugonga/kuteleza/viboko).

🏵️ - {kupiga kwa nguvu}.
The rain lashed at the window.
- mvua imepiɡa kwa nɡuvu katika dirisha.

🏵️ - {kupiga kwa nguvu}.
Brances lashed at my face.
- Matawi ya mti yamenipiga kwa nguvu ushoni (mwangu).

🏵️ - {kuteleza}.
Heard the snake lashing about in the leaves.
- sikiliza nyoka anavyo-teleza katika majani.

🏵️ - {viboko}.
His father lashed him for/to stealings to his neighbour's house.
- baba yake amempiga kwa kuiba nyumba ya jirani.
(baba yake amempiga kwa kwenda kuiba nyumba ya jirani).

08/06/2024

Pronounciation - Matamshi.

1) lashe ~ /læʃ/.
2) prone ~ /proʊn/, /prəʊn/.
3) tapestry ~ /'tæpəstri/.
4) wardrobe ~ /'wɔːdrəʊb/.
5) disparaɡe ~ /dɪ'spæridʒ/.

6) recipe ~ /resəpi/.
7) brim ~ /brɪm/.
8) whistle ~ /'wɪsɭ/.
9) perpetuate ~ /pə'petʃueɪt/.
10) seethinɡ ~ /siːð/.

06/06/2024

Parts of a tree.

Branch - (Tawi Shina/Tawi kuu).
Crown - (Majani machanga).
Fruit - (Tunda).
Leaves - (Majani mapevu).
Limb - (Tawi la kati baina kigogo na majani).
Roots - (Mizizi).
Taproot - (Shina la mizizi).
Trunk - (Kigogo).
Twig - (Tawi changa/Kitawi).

Address

Fuoni
FUONI.

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze Kiingereza Fasaha. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category