Inua Jamii TZ

Inua Jamii TZ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Inua Jamii TZ, Education Website, Dodoma.

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Tumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa ku...
26/03/2026

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Tumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujalia kukamilisha Ibada ya Swaumu, na tumwombe apokee funga, dua na sadaka zetu.

Tuungane na ndugu, jamaa, jirani na marafiki kusherehekea sikukuu hii kwa upendo na utulivu, huku tukidumisha umoja na kulinda amani ya nchi yetu, kwani ndiyo msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, tukiimarisha maadili mema na mshikamano katika jamii zetu.

Eid Mubarak.

Pata mkopo wa kifedha unaouhitaji—haraka, rahisi, na bila msongo wa mawazo. Suluhisho zetu za mikopo zinazobadilika zime...
26/03/2026

Pata mkopo wa kifedha unaouhitaji—haraka, rahisi, na bila msongo wa mawazo. Suluhisho zetu za mikopo zinazobadilika zimeundwa kuendana na mtindo wako wa maisha, zikiwa na idhini za haraka na mipango rahisi ya ulipaji. Tuma ombi lako leo na ugeuze mipango yako kuwa kweli.

Baada ya miaka 35, tumelazimika kufanya tena tathmini ya mfumo wa kodi nchini ambapo leo nimepokea ripoti ya Tume ya Rai...
26/03/2026

Baada ya miaka 35, tumelazimika kufanya tena tathmini ya mfumo wa kodi nchini ambapo leo nimepokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini niliyoiunda Julai 2024. Tume imewasilisha mapendekezo 284 yanayolenga kuboresha mfumo wa kodi ili uendane na mabadiliko ya kiuchumi, kiuwekezaji na kibiashara duniani.

Maboresho ndiyo maendeleo. Kwa muktadha huo, tumechukua hatua hii kwa malengo makuu mawili; kwanza, kupanua wigo wa walipakodi, ili kila mwananchi ashiriki kujenga uchumi wa nchi yetu, na pili, kutambua kuwa mfumo bora wa kodi ni muhimu katika kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani, sawa na malengo ya Dira 2050.

Ninawashukuru wananchi wote kwa kutoa maoni kwani mmeshiriki kuamua hatma ya leo na kesho yetu na Taifa letu. Aidha, katika utekelezaji wa mapendekezo hayo, tutashirikiana kikamilifu na sekta binafsi, wananchi na wadau wengine ili tufanikishe lengo la ukusanyaji rasilimali zinazohitajika kwa ustawi wa watu na maendeleo ya nchi yetu.

Unahitaji pesa haraka? Tumekushughulikia. Huduma zetu za mkopo ni za haraka, za kuaminika, na zimeundwa kukusaidia kuson...
21/02/2026

Unahitaji pesa haraka? Tumekushughulikia. Huduma zetu za mkopo ni za haraka, za kuaminika, na zimeundwa kukusaidia kusonga mbele bila msongo wa mawazo. Mchakato rahisi, masharti ya haki, na pesa unapozihitaji zaidi.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inua Jamii TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share