14/12/2017
Mwalimu J.K NYERELE baba wa taifa la Tanzania .alikua msingi madhubuti kwenye masilai ya taifa letu la TANZANIA .ukiwa k**a mwana nchi mzarendo kwa taifa letu ili.mtazamo wako kwenye sela za mwali juu ya ujamaa na kujitegemea ,kupinga ukabila na udini kitu ambacho ni msing mkubwa kwa amani tunayo jivunia ivi sasa...Je walithi wake wana simamia kwa yakini mambo haya ?