18/08/2024
Kampuni ya Louis Vuitton maarufu kwa utengenezaji na uuzaji wa bidhaa k**a mabegi, viatu na nguo huchoma moto bidhaa zake zote zinazobaki kila mwaka ili kuepuka kuuza bidhaa hizo kwa bei ndogo hufanya hivo kulinda heshima na thamani ya kampuni hiyo kubwa na maarufu duniani kote.