Willy Mongi

Willy Mongi Enroll with us. Christian School. Forms one to six. HGL and HKL

14/07/2024

Asante Mungu kwa kunifikisha Dar salama!

Enroll with us. Christian School. Forms one to six. HGL and HKL

Napakia kwenda Dar kwa Anniversary ya miaka 85 ya uwepo wa TAG katika mchakamchaka wa kuhubiri Injili.
13/07/2024

Napakia kwenda Dar kwa Anniversary ya miaka 85 ya uwepo wa TAG katika mchakamchaka wa kuhubiri Injili.

”BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu za...
30/01/2024

”BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake; bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,“
‭‭Yer‬ ‭9‬:‭23‬-‭24‬ ‭SUV‬‬

bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWA

It is long now I’ve being using YouVersion. Maneuvering from version to version, language to language and all free. No r...
30/01/2024

It is long now I’ve being using YouVersion. Maneuvering from version to version, language to language and all free. No regrets. Try it!

Download The YouVersion Bible App Now - 100% Free, No ads or purchases | Audio Bible | The Bible App | Bible.com

‭‭1 Kor‬ ‭2:6‭-‬15‬ ‭SUV‬‬[6]  Walakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao ...
25/12/2023

‭‭1 Kor‬ ‭2:6‭-‬15‬ ‭SUV‬‬
[6] Walakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao wanaoitawala dunia hii, wanaobatilika; [7] bali twanena hekima ya Mungu katika siri, ile hekima iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu milele, kwa utukufu wetu; [8] ambayo wenye kuitawala dunia hii hawaijui hata mmoja; maana k**a wangaliijua, wasingalimsulibisha Bwana wa utukufu; [9] lakini, k**a ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao. [10] Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. [11] Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu. [12] Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu. [13] Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. [14] Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. [15] Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

https://bible.com/bible/164/1co.2.12.SUV

22/02/2019

Tafadhali nakuomba ukubali kubarikiwa. Na k**a umekubali kwa kusema nakubali Basie Ubarikiwe na baraka zote za Rohoni na mwilini.

Address

Merriwa Road
Dodoma

Telephone

+255754265326

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Willy Mongi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category