Merriwa High School

Merriwa High School We are What God says we are!!!! We are Christians committed to excellence.. We hope you will take pride in being one of our members on this page. Again, Welcome!

We are Christians committed for excellence to rise our nation (Tanzania)

On behalf of Merriwa High School, we welcome you to the Merriwa Official page and wish you every success here. At Merriwa High School, we believe that each individual via this page can contribute directly or indirectly to the growth and success of our school. We believe that professional relationships are

easy when all members are aware of the culture and values of our school. This page will help you to better understanding of our future and challenges that are ahead. We hope your advice and experience here will be enjoyable, and rewarding.

Uongozi wa Shule ya Sekondari Merriwa iliyopo Dodoma. Unakutangazia nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa mwaka 2024/...
15/07/2024

Uongozi wa Shule ya Sekondari Merriwa iliyopo Dodoma. Unakutangazia nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa mwaka 2024/2025

Aidha tunazo nafasi kwa ajili ya kidato cha I, II & III kwa wanaohamia!

Kwa mawasiliano zaidi waweza kuwasiliana nasi kupitia namba:

0655 792114/0713312109/0628 148614

Mungu wa Mbinguni Awabariki Mno!Merriwa High School

25/05/2024
29/01/2024

Mungu wa Mbinguni Awabariki Mno!

08/12/2023

Kwa *Merriwa High School & Sports Academy* 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio. Tumerejea kwenye ligi na kuchukua ubingwa wa wilaya, na tunaanza ligi ya mkoa Tarehe 10 mwezi huu. Mlete mwanao ajiunge na timu yetu kwa ajili ya ligi ya bingwa wa mashule Afrika Mashariki na kati mwakani.

Ni rahisi tu, ni kujiunga na kidato cha kwanza 2024 au kwa wanaohamia kidato cha tatu na tano, moja kwa moja anapata *nafasi ya kufanya majaribio ya kujiunga na Sports Academy bure!*

*Piga sasa; 0655792114* kwa maelekezo zaidi. Karibu Dodoma, Karibu Merriwa High School.

Address

2060
Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255713312109

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Merriwa High School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category