Decca Institute of Science and Technology

Decca Institute of Science and Technology Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Decca Institute of Science and Technology, Education, Dodoma.

🎓 DECCA Institute of Science and Technology (DIST) | Registered by NACTVET | Quality Certificate & Diploma Programmes in Health, Agriculture, Technology & Community Development. 📍Dodoma | 🌐 www.decohas.ac.tz | 📞 0674102102 | 0763102102 | 0623102102

21/08/2026

Your journey to a brighter future starts here! 🌟
At DECCA Institute of Science & Technology (DIST), we provide quality education and practical skills designed to prepare you for a successful career and future opportunities.
📚 Available Programmes:
💥Clinical Medicine
💥Nursing & Midwifery
💥Pharmaceutical Sciences
💥Medical Laboratory Sciences (HESLB)
💥Health Records & Information Technology (HESLB)
💥Veterinary Laboratory Technology (HESLB)
💥Science & Laboratory Technology (HESLB)
💥Animal Health & Production (HESLB)
💥Agriculture Production (HESLB)
💥Food Technology & Human Nutrition (HESLB)
💥Urban & Regional Planning (HESLB)
💥Social Work
💥Community Development
💥Laboratory Assistant
💡 Don’t wait for tomorrow to build your future. Apply now and take the first step toward becoming a skilled professional.
📞 Contact us:
+255 674 102 102 | +255 658 602 605
+255 763 102 102 | +255 623 102 102
🌐 Visit: www.decohas.ac.tz
✨ DIST — The Bright Future You Need.

20/08/2026

Three years of dedication, countless lessons, unforgettable memories—and now, the finalists are standing tall! 🎓🔥
They came, they learned, they conquered. Now the next chapter begins. The future of healthcare is looking brighter already. 💫
Congratulations to our Nursing & Midwifery finalists! 🩷👩🏽‍⚕️

From sleepless nights to clinical skills, from classroom lessons to real-life experiences — our Nursing & Midwifery fina...
19/08/2026

From sleepless nights to clinical skills, from classroom lessons to real-life experiences — our Nursing & Midwifery finalists have come this far with courage, commitment, and determination.
As they wrap up their third-year examinations, one chapter is coming to an end… but a greater journey is just beginning. ✨
Three years down. A lifetime of caring ahead. 💗🩺
Congratulations, Finalists! The world is waiting for the healthcare heroes you’re becoming. 👩🏽‍⚕️👨🏽‍⚕️🎓

Your future starts with the right choice! 🚀Are you ready to build a successful career and gain practical skills for the ...
18/08/2026

Your future starts with the right choice! 🚀
Are you ready to build a successful career and gain practical skills for the job market? DECCA Institute of Science & Technology (DIST) invites you to apply for the September Intake 2026.
📚 Available Programmes: 🔹 Clinical Medicine
🔹 Nursing & Midwifery
🔹 Pharmaceutical Sciences
🔹 Medical Laboratory Sciences
🔹 Health Records & Information Technology
🔹 Veterinary Laboratory Technology
🔹 Science & Laboratory Technology
🔹 Animal Health & Production
🔹 Agriculture Production
🔹 Food Technology & Human Nutrition
🔹 Urban & Regional Planning
🔹 Social Work
🔹 Community Development
🔹 Laboratory Assistant
✨ JOIN THE WINDOW OF OPPORTUNITY AND TAKE THE FIRST STEP TOWARDS YOUR BRIGHT FUTURE!
📞 Contact Us:
+255 674 102 102 | +255 658 602 605
+255 763 102 102 | +255 623 102 102
🌐 Visit: www.decohas.ac.tz
DIST — The Bright Future You Need. 🎯

Mafanikio katika taaluma za sayansi na afya huanza kwa maarifa sahihi na mafunzo ya vitendo. Kupitia mazingira yetu ya m...
17/08/2026

Mafanikio katika taaluma za sayansi na afya huanza kwa maarifa sahihi na mafunzo ya vitendo. Kupitia mazingira yetu ya maabara, wanafunzi wanapata fursa ya kujifunza kwa vitendo, kutumia vifaa vya kisasa na kujenga ujuzi unaowaandaa kwa changamoto za soko la ajira. 👩🏾‍🔬🧑🏾‍🔬
Katika DIST – DECCA Institute of Science and Technology, tunaamini kuwa elimu bora siyo kusoma nadharia pekee, bali ni kujifunza, kufanya na kuwa tayari kwa kazi halisi.
🎓 DIST… The Bright Future You Need. 📚

Tunawatakia kila la heri na mafanikio mema wanafunzi wetu wa DECCA Institute of Science & Technology (DIST) katika mitih...
15/08/2026

Tunawatakia kila la heri na mafanikio mema wanafunzi wetu wa DECCA Institute of Science & Technology (DIST) katika mitihani yenu! 📚📝
Kumbukeni, kila swali ni nafasi ya kuonyesha maarifa mliyoyapata, kila changamoto ni hatua kuelekea mafanikio, na kila juhudi mnayoweka leo ni uwekezaji wa maisha yenu ya kesho. 💪🔥
Jiamini, soma kwa bidii, tulia wakati wa mtihani na fanya kila unachoweza kwa ubora wako. 🌟
Tunajivunia kuwa nanyi katika safari hii ya elimu na tunawaamini mnaweza kufanya vizuri. Go DIST Students! 🏆🎓
💙💛 DIST – The Bright Future You Need.

Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa familia ya DECCA Institute of Science and Technology (DIST), ambapo viongozi wap...
14/08/2026

Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa familia ya DECCA Institute of Science and Technology (DIST), ambapo viongozi wapya wa Serikali ya Wanafunzi wameapishwa rasmi na kuanza safari yao ya kulitumikia na kuliongoza kundi la wanafunzi kwa kipindi kipya cha uongozi.
Kuapishwa kwa Rais na Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi ni hatua kubwa inayodhihirisha dhamira ya DIST katika kuwajenga wanafunzi siyo tu kitaaluma, bali pia katika uongozi, uwajibikaji, maadili, ushirikiano na utatuzi wa changamoto zinazowahusu wanafunzi.
Uongozi wa wanafunzi ni darasa jingine muhimu nje ya darasa la kawaida. Kupitia nafasi hizi, wanafunzi hupata fursa ya kujifunza namna ya kuwasikiliza wenzao, kuwasilisha mawazo yao, kushirikiana na uongozi wa taasisi pamoja na kuwa sehemu ya kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii.
Kwa viongozi wetu wapya, hii siyo nafasi ya heshima pekee, bali ni dhamana na jukumu la kuwatumikia wanafunzi kwa uadilifu, hekima na uwajibikaji. Tunawaamini na tunawatakia kila la heri katika kutekeleza majukumu yao mapya.
👏 Hongereni sana Rais na Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya DIST kwa kuaminiwa na kupewa dhamana hii kubwa.
Tunawatakia uongozi wenye mafanikio, ushirikiano na matokeo chanya. Uongozi bora huanza na utayari wa kusikiliza, kuhudumia na kuongoza kwa mfano.
✨ DIST – The Bright Future You Need.

12/08/2026

Clinical Medicine ni zaidi ya kusoma—ni kujifunza ujuzi wa kutambua, kuchunguza na kusaidia kutibu wagonjwa, huku ukijenga taaluma yenye nafasi ya kuleta mabadiliko katika jamii. ❤️‍🩹
🎓 DIRISHA LA USAJILI SEPTEMBER INTAKE 2026 LIPO WAZI!
Usiahirishe ndoto yako ya kuwa mtaalamu wa afya. Jiunge na DIST na anza safari yako ya taaluma ya Clinical Medicine.
📚 Usajili unaendelea sasa!
✨ DIST — The Bright Future You Need.

Katika Veterinary Laboratory Technology, mafunzo ya vitendo ni sehemu muhimu ya kuwaandaa wataalamu wenye uwezo wa kuchu...
11/08/2026

Katika Veterinary Laboratory Technology, mafunzo ya vitendo ni sehemu muhimu ya kuwaandaa wataalamu wenye uwezo wa kuchunguza na kutambua magonjwa ya wanyama kwa kutumia mbinu za maabara.
Kupitia mafunzo haya, wanafunzi wetu hujifunza kwa vitendo na kujenga ujuzi unaohitajika katika uchunguzi wa magonjwa, afya ya wanyama na usalama wa mifugo.
🎓 Jenga taaluma yako katika Veterinary Laboratory Technology na jiandae kuwa mtaalamu wa afya ya wanyama.
📢 September Intake 2026 | Usajili unaendelea DIST.
DIST – The Bright Future You Need.

Taasisi ya Sayansi na Teknolojia DECCA (DIST) inawapongeza kwa dhati Ndg. Singi P. Jesagwa na Ndg. Hashram S. Kassim kwa...
11/08/2026

Taasisi ya Sayansi na Teknolojia DECCA (DIST) inawapongeza kwa dhati Ndg. Singi P. Jesagwa na Ndg. Hashram S. Kassim kwa kuchaguliwa kuwa Rais na Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia DECCA.
Uongozi ni dhamana, na tunawatakia hekima, uadilifu na mafanikio katika kutekeleza majukumu yenu na kuwatumikia wanafunzi wenzenu. 💙💛
Hongereni sana, viongozi wetu! 👏🔥

Leadership

Address

Dodoma
255

Telephone

+255763102102

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Decca Institute of Science and Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Decca Institute of Science and Technology:

Shortcuts

Share

Category