St.mark's School Dodoma

St.mark's School Dodoma Welcome St.marks primary school Dodoma 1.5km from chuo cha Mipango
Contact +255764230728 Hongera sana kwenu nyote na Mungu awabariki
Contact +255764230728

Shule Bora, tunazo point 282 kati ya point 300 matokeo Darasa la Saba mwaka 2022.

27/04/2026

Celebrating my 10th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

March Babies Birthday😍😍Our Theme  😊
30/03/2026

March Babies Birthday😍😍
Our Theme 😊

Mahali ambapo watoto wanajifunza kwa upendo, nidhamu na maarifa, wakiongozwa na walimu wenye moyo wa malezi na mazingira...
18/01/2026

Mahali ambapo watoto wanajifunza kwa upendo, nidhamu na maarifa, wakiongozwa na walimu wenye moyo wa malezi na mazingira salama ya kisasa.
Hapa, elimu si kusoma tu, bali ni kujenga tabia, maadili na ndoto za maisha ya baadaye.
👨‍👩‍👧‍👦 Mzazi, mpe mtoto wako msingi imara leo
🏫 St. Mark’s School Dodoma – Elimu yenye thamani, malezi yenye matumaini.

18/01/2026

Welcome👏

🎓 Kuwekeza katika Elimu ni Kuwekeza katika Maisha ya BaadayeKatika St. Mark’s School – Dodoma, tunaamini kuwa elimu siyo...
03/01/2026

🎓 Kuwekeza katika Elimu ni Kuwekeza katika Maisha ya Baadaye
Katika St. Mark’s School – Dodoma, tunaamini kuwa elimu siyo kufaulu mitihani pekee, bali ni kujenga maadili, kukuza uwezo wa kufikiri, na kuandaa viongozi wa baadaye wenye nidhamu na kujiamini.
Shule yetu ina mazingira bora ya kujifunzia yanayomlea mtoto kiakili, kimaadili, kijamii na kitabia kupitia walimu wenye sifa, mbinu za kisasa za ufundishaji, na malezi bora.

✨ Madarasa yenye idadi ndogo ya wanafunzi

✨ Walimu waliobobea na wenye kujali watoto

✨ Mazingira salama, yenye nidhamu na yanayohamasisha kujifunza

✨ Msingi imara wa kitaaluma kuanzia hatua za awali

Karibu shuleni kwetu

Mtihani mwema wanafunzi wetu darasa la Nne 2025
22/10/2025

Mtihani mwema wanafunzi wetu darasa la Nne 2025

Karibuni🙏
16/10/2025

Karibuni🙏

22/09/2025

Tukaona tumpigie kwa tukio la tarehe 27 September 2025 kwa pamoja siku hiyo tukisema bye bye class 7 of 2025. Itakuwa Graduation 🎓 Bora kabisa kuwai kutokea katika viwanja Vya shule ya

Karibu







MTIHANI MWEMA DARASA LA SABA 2025🙏
10/09/2025

MTIHANI MWEMA DARASA LA SABA 2025🙏




26/08/2025

Kwaya ya vijana wetu wadogo wanamtumikia Mungu wao

👏👏Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii adhimu, ambapo tunaupokea ujio wa  Baba Askofu Mkuu, kiongozi wetu ...
23/08/2025

👏👏Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii adhimu, ambapo tunaupokea ujio wa Baba Askofu Mkuu, kiongozi wetu wa kiroho, mleta baraka na mwanga wa imani.

Katika neema ya leo, wanafunzi wetu wanapokea Sakramenti Takatifu za Ubatizo, Kipaimara na Komunyo ya Kwanza, tukio linaloimarisha safari yao ya Kikristo na kushuhudia ukuaji wao katika imani, tumaini na upendo wa Kristo.

Kwa unyenyekevu na furaha kuu, tunamkaribisha Baba Askofu Mkuu kuongoza ibada hii tukufu, akiwa k**a mchungaji na baba wa kiroho kwa watoto hawa na familia nzima ya St. Mark’s.

Karibu sana Baba Askofu Mkuu,
Katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.

The Best school

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii adhimu, ambapo tunaupokea ujio wa  Baba Askofu Mkuu, kiongozi wetu wa...
23/08/2025

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii adhimu, ambapo tunaupokea ujio wa Baba Askofu Mkuu, kiongozi wetu wa kiroho, mleta baraka na mwanga wa imani.

Katika neema ya leo, wanafunzi wetu wanapokea Sakramenti Takatifu za Ubatizo, Kipaimara na Komunyo ya Kwanza, tukio linaloimarisha safari yao ya Kikristo na kushuhudia ukuaji wao katika imani, tumaini na upendo wa Kristo.

Kwa unyenyekevu na furaha kuu, tunamkaribisha Baba Askofu Mkuu kuongoza ibada hii tukufu, akiwa k**a mchungaji na baba wa kiroho kwa watoto hawa na familia nzima ya St. Mark’s.

Karibu sana Baba Askofu Mkuu,
Katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.

Address

St Marks Primary School
Dodoma
41113

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:00
Tuesday 08:30 - 16:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 16:00
Friday 08:30 - 16:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255764230728

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St.mark's School Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to St.mark's School Dodoma:

Shortcuts

Share

Category