Amani Abeid Karume High School

Amani Abeid Karume High School AMANI ABEID KARUME HIGH SCHOOL ni shule ya serikali yenye kidato cha 1 hadi cha 6 iliyoko mkoa wa do pia ina walimu wazoefu na wenye weledi kufundisha.

AMANI ABEID KARUME HIGH SCHOOL ni shule ya sekondari iliyoko wilaya ya KONDOA, kijiji cha PAHI KM 45 kutoka kondoa mjini. Ni shule yenye kidato cha I hadi cha VI, ikiwa kidato cha I-IV ni mchanganyiko wa wasichana na wavulana na wa kutwa na kidato cha 5 na 6 wakiwa wavulana na wa bweni. Shule ina mandhari mazuri ya kumwezesha mwanafunzi kujisomea.

29/03/2025
Haya hapa matokeo kidato Cha sita 2018Hongereni vijana wetu
14/07/2018

Haya hapa matokeo kidato Cha sita 2018
Hongereni vijana wetu

Haya hapa matokeo kidato cha sita 2018Hongereni vijana wetu
14/07/2018

Haya hapa matokeo kidato cha sita 2018
Hongereni vijana wetu

08/04/2018

Likizo yetu inaisha leo, hvyo nategemea wanafunzi wote kesho kuwepo darasan kwani vipindi/kufundisha kutaanza Mara moja.
Kwa wale walioko safarini niwatakie Safari njema ya kurudi shuleni. Wale wa day niwatakie maandalizi mazuri ya kesho kuja shuleni

01/01/2018

Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na shule yetu kwa KIDATO CHA KWANZA/ FORM ONE 2018. Shule yetu imepangiwa wanafunzi 216 hvo tunawakaribisha sana shuleni kwetu kwa ajili ya kuongeza maarifa.
Motto: Elimu kwa Jasho/ Education with an Effort

01/01/2018

The school open on 8th January, 2018.
I do recommend all boarding scholars to report at school as per timetable.
By Administration

Celebrating a good performance of our school
04/09/2017

Celebrating a good performance of our school

Mabadiliko ya mihula ya shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi Tanzania bara 2017
20/02/2017

Mabadiliko ya mihula ya shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi Tanzania bara 2017

08/09/2015

Shule imefungwa had I tarehe 21 September 2015

09/08/2015

Niko MOSHI, hyo baridi hapana chezea

09/08/2015

Karibuni na like page hii ilikupata taarafa zote zinazohusu shule yetu

Address

P. O Box 45, Kondoa
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amani Abeid Karume High School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category