09/11/2023
Nyumbani ni nyumbani tu mkataa kwao ni mtumwa leo 09.11.2023 nilikuwa ndani ya Bahi nikitoa Elimu ya kupiga vita biashara haramu ya usafirishaji wa Binadamu kwa watendaji, Maafisa Elimu kata, Uhamiaji,Polisi,Mahakimu, makatekista, mapadre,watawa, viongozi wa vyama vya kitume na wadau mbalimbali walioshiriki semina hiyo leo hii Wilaya ya Bahi