udom_ambassadors

udom_ambassadors Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from udom_ambassadors, College & University, UDOM, Dodoma.

12/05/2026

Karibu Tushiriki Pamoja!

Safari Inaendelea

Kamati ya Charity Season 10! Door to Door Campaign!  Tunahakikisha tunapata Millioni 10Safari Inaendelea! Tukutane Hombo...
12/05/2026

Kamati ya Charity Season 10!

Door to Door Campaign! Tunahakikisha tunapata Millioni 10

Safari Inaendelea!

Tukutane Hombolo!

12/05/2026

Safari Inaendelea!

11/05/2026

Safari Inaendelea!!!!!!!!!!

11/05/2026

Hebu Fikira!

11/05/2026

Kwa chochote utakachobarikiwa ni kikubwa kwao!

Tuwape Tabasamu!

Tukutane Hombolo

Safari Inaendelea

Kuelekea Uchaguzi wa UDOSO! JIPANGE!  #
11/05/2026

Kuelekea Uchaguzi wa UDOSO!

JIPANGE!

#

Katika kuendelea kuimarisha misingi ya uwajibikaji, uwazi na maendeleo ya Serikali ya Wanafunzi, Bunge la Jumuiya ya Wan...
10/05/2026

Katika kuendelea kuimarisha misingi ya uwajibikaji, uwazi na maendeleo ya Serikali ya Wanafunzi, Bunge la Jumuiya ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO) tarehe 9 Mei 2026, lilifanya Kikao Rasmi cha 5 katika ukumbi wa Bunge wa CIVE LRB 105, Chuo Kikuu cha Dodoma.

Kikao hicho kilijadili agenda mbalimbali muhimu, ikiwemo ripoti ya utekelezaji wa Serikali ya Wanafunzi, pamoja na kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu na mawaziri wa wizara mbalimbali.

Lengo la mijadala hiyo lilikuwa kuimarisha utendaji wa serikali na kuhakikisha sauti pamoja na maslahi ya wanafunzi yanawakilishwa ipasavyo.

Kikao hicho kiliongozwa na Spika wa Bunge la UDOSO, Bw. Aizaki Shirima, na kuhudhuriwa na Wabunge, Waziri Mkuu, mawaziri wa wizara zote pamoja na wageni mbalimbali ambao ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.

UDOSO inaendelea kuamini katika uongozi unaozingatia uwajibikaji, ushirikishwaji na maendeleo ya wanafunzi kupitia mijadala yenye tija na maamuzi yanayolenga kujenga mustakabali bora wa wanafunzi wa UDOM.

Hongereni Finalist! Kweli mmebakiza UE moja alafu watoto wadogo wawafunge!
08/05/2026

Hongereni Finalist! Kweli mmebakiza UE moja alafu watoto wadogo wawafunge!



Address

UDOM
Dodoma

Telephone

+255718341328

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when udom_ambassadors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to udom_ambassadors:

Shortcuts

Share