Pastor:Emmanuel -Bible study

Pastor:Emmanuel -Bible study Kujifunza Neno la Mungu

18/04/2021

Kukutana na mtu kimwili si kwa kujifurahisha tu ni kifungo cha Nafsi ( Spiritual bond soul tie.)

Angalia Kwa Umakimini ni nani unakutana naye kimwili??, Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako, Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,wakatili,wengine ni k**a mashetani kabisa , Hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani yao ,

Moja Kati ya Sababu ya Kuondelea Kuota Ndoto za x wako au x wako wa zamani ni Kwasababu kuna sehemu ya Maisha yao au yako yalibaki kwako au yalibaki kwao wakati unakutana nao Kimwili tendo hili la Kuacha Sehemu yao kwako au sehemu yako inabaki kwako kiroho inajulikana k**a Soul tie ( Vifungo vya Nafsi) nafsi yako huwa inafungwa na nafsi ya Yule mtu unayekutana naye kimwili

Jambo tusilolijua ni kuwa Njia rahisi ya kusambaza mapepo kwa mtu ni kukutana na mtu huyu kimwili, imagine wewe una maroho ya kwenu ,maroho ya vizazi maroho ya wizi , maroho ya uzinzi ,maroho ya Hasira n.k una kutana na mwanaume au mwanamke naye ana maroho ya kwao na maroho yake mengine hivyo unamwambukiza maroho naye anakuambuzi maroho, imagine k**a wewe ni mwanaume na una wanawake watano na wote mnakutana kimwili hii inamaana ndani ya nafasi yako kuna wanawake watano angalia maroho hawa wanawake waliyonayo kila mmoja atakuwa na maroho ya kwao hivyo ni rahisi wewe kuwa na maroho mengi zaidi...

Ni wanaume / wanawake wangapi unao ndani yako?Kila mmoja unayekutana naye kimwili au uliyekutana naye Kimwili aliaacha sehemu yake ndani yako.... Wengi wetu tunafikiri kukutana kimwili ni kwa kujifurahisha tu, lakini hatuelewi kukutana kimwili ni agano Kubwa la Kiroho

Kukutana na mtu kimwili nje ya ndoa linaambukiza mapepo kuliko unavyoweza kufikiri .... Siyo jambo lakucheza nalo.

Kukutana kimwili na mtu huwa nafsi za wahusika zinafungwa pamoja ndiyo maana ni rahisi kukuta mtu alikuwa tajiri lakini baada ya kukutana na mtu kimwili akaanza kuporomoka , au mtu alikuwa vizuri kiroho lakini anapokutana na mtu kimwili ghafla anashuka.

Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu destiny ya mtu au kuharibu nyota ya mtu.Kukutana kimwili ni link rahisi ya kiroho ya kuchua nyota ya mtu au kuchukua kibali cha mtu.

Kuwa Makini ni nini unaruhusu kuruhusu kiingie kwako ?.... Kila mtu ulinakitana naye Kimwili anacha sehemu ya nafsi yake ndani yako

Kukutana kimwili ni spiritual bond kwa sababu ya conection ( muunganiko ) unaotokea wakati wa tendo lenyewe.. Ulishajiuliza ni wangapi umekutana nao ? Je Ndani yako inaonekanakanaje sasa?Kukutana kimwili na Mtu ina madhara zaidi Kiroho zaidi ya Kujifurahisha Kimwili unakofikiri

Please Share utawasaidia Wengi sana.. Mungu aubariki kila mkono utakaoshare nimeona wengi wameokolewa kwa kusoma tu huu ujumbe share yako itamwokoa mtu ambae alikuwa hajui madhara haya

KUMBUKA KULIKE AU KUFOLLOW UKURASA HUU ILI KUENDELEA KUTUFUATILIA BONYEZA LINK YA LIKE AU FOLLOW ILI KUPATA MWENDELEZO WA SOMO HILI NITAKUPA PIA MAELEKEZO NA PROCESS ZA KUFUATA ILI KUTONA NA HIZI ROHO ZILIZOINGIA

Tufuatilie Pia Instagram search kisha Follow

PIA K**A UKO MOSHI JUMAMOSI NA JUMAPILI WIKI HII TAREHE 11 & 12 YA MWEZI HUU WA TISA 2021 TUTAKUWA NA SEMINA YA UKOMBOZI
SEMINA HII ITAFANYIKA UHURU HOSTEL SHANTY TOWN MKABALA KABISA NA REDIO SAUTI YA INJILI HAKUNA KIINGILIO NI BURE KABISA ..WATU WOTE WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA .SEMINA ITAANZA SAA SITA MCHANA .

K**A HUJUI JINSI YA KUFIKA UNAWEZA KUWASILIANA NA 0764 205871

Address

0765425281
Dodoma
0765425281

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor:Emmanuel -Bible study posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share