Terrax Beauty Vocational Training Centre

Terrax Beauty Vocational Training Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Terrax Beauty Vocational Training Centre, Trade school, Dodoma.

Terrax Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Mafunzo ya Amali) tulishiriki vema kabisa maandamano ya Wafanyakazi mbele ya Ra...
02/05/2026

Terrax Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Mafunzo ya Amali) tulishiriki vema kabisa maandamano ya Wafanyakazi mbele ya Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika maadhimisho ya Meimosi Kitaifa Mkoani Njombe 2026🇹🇿🇹🇿

10/04/2026

Tasnia ya Ufundi wa USUSI na UREMBO imekuwa moja ya ajira kwa Wanawake na Vijana katika kuhakikisha vijana wanatoka vijiweni na kuanza kujiajili na kukabiliana na ukosefu wa ajira nchini. K**a mdau wa mafunzo ya Ufundi Stadi wa Ususi na Urembo, kwa kushirikiana na Wadau na Watengenezaji na wasambazaji wa Nywele (Rasta, Weaving) Kampuni ya na leo Wanafunzi wetu wapo kwenye zoezi la Ususi wa mitindo tofauti na wametumia nywele hizi Long African braid, Celyn, Afro Puff, Nala, Princess na Wonderful. Karibu sana darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea✍️✍️ Tunapatikana Chang'ombe extention Dodoma 0758909212.

Terrax Chuo cha Ufundi StadiChuo cha Vitendo, Ajira kwa Vitendo✍️✍️ Karibuni saana Darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya ...
19/01/2026

Terrax Chuo cha Ufundi Stadi

Chuo cha Vitendo, Ajira kwa Vitendo✍️✍️ Karibuni saana Darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea, Mafunzo ya Ususi na Urembo, Mapambo, Ushonaji na Usafi (Basic Cleaning)

Tunapatikana Dodoma Chang'ombe Extention 0758909212☎️

Terrax – Chuo cha Vitendo, Ajira kwa Vitendo✍️✍️ Karibuni saana Darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea, Tunapat...
19/01/2026

Terrax – Chuo cha Vitendo, Ajira kwa Vitendo✍️✍️ Karibuni saana Darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea, Tunapatikana Dodoma Chang'ombe Extention 0758909212☎️

Address

Dodoma
41217

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Telephone

+255758909212

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Terrax Beauty Vocational Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category