16/01/2023
Hollyland English Medium School, ni shule inayofanya vizuri mkoani Manyara, Mwaka Jana 2022 Matokeo ya Darasa la 7 shule imeshika nafasi ya 1 wilaya ya Babati, ni shule ya Bweni na Kutwa, Ina miradi pia ya ujasiriamali kumfundisha mwanao ujasiriamali na kujitegemea. Nyooote mnakaribishwa
Tupigie Sasa kwa Namba zetu za Afisa Masoko 0655444200 utapatiwa maelezo ya kukuridhisha. Tupo Magugu-Karibu na Bwawa la Tinga au Sheli Mpya Barabara Iendayo Arusha mkono wa Kulia kabla ya kufika Kibao Cha Tembo njia ya kwenda Tarangire National Park.