Chuo Cha Ualimu Mtumba

Chuo Cha Ualimu Mtumba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chuo Cha Ualimu Mtumba, Education, Mtumba Teachers College, Dodoma.

Chuo cha Ualimu Mtumba (Mtumba Teachers College) ni chuo kinacho milikiwa na kanisa la Anglikana Tanzania na kimesajiliwa kisheria chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa namba ya usajili CU 97

Chuo cha Ualimu Mtumba kinapatikana mkoa wa Dodoma - Usajili wa Kiserikali chini ya Wizara Husika.
- Uongozi makini na walimu bora na wenye uzoefu.
- Mazingira tulivu ya kufundishia na kusomea na maadili bora kutoka kwa uongozi na wanafunzi.

04/09/2023

K**a bado haujafahamu mwanao, mdogo wako, jirani Yako hajui akasomee Ualimu wa chekechea au Ualimu wa shule ya msingi basi Chuo Cha Ualimu Mtumba kilichopo Dodoma kinawapokea. Iko hivi k**a amepata div I mpaka 3 anaruhusiwa kujiunga na Ualimu wa shule ya msingi ngazi ya cheti. Na k**a amepata div 4 tunamkaribisha kujiunga na Ualimu wa chekechea au malezi ya watoto wadogo. Chuo kitakupa 20,000 ukituletea mwanafunzi mmoja. Kwa maelezo tupigie 0715920082 au 0656667880 au 0745722126 au 0658587675

23/07/2023

Chuo Cha Ualimu Mtumba Tunaendelea kuwapokea wanaotaka kusoma Ualimu wa shule ya msingi kwa wenye ufaulu wa div 1-3 na Ualimu wa chekechea (Malezi ya watoto wadogo)wenye ufaulu wa div 1-4.
K**a una rafiki Yako, ndugu Yako, jamaa Yako kampe taarifa kwamba nafasi zipo chache atupigie kwa maelezo zaidi kwa namba zifuatazo;
- 0715 920082
- 0656 667880
- 0745 722126
Kila mwanafunzi utakaye tuunganisha naye tutakupa kifuta jasho Cha 20,000

Mtumba TC - Elimika Ukaelimike

02/05/2023
27/11/2022

Mwezi wa kwanza 2023 tunaanza na udahili wa ualimu wa chekechea au malezi ya watoto wadogo ngazi ya cheti kwa wenye ufaulu wa div1-4. Hapa iko hivi chuo kimebadili mchongo, ukituletea mwanafunzi mmoja akafika chuoni tutakupatia 20,000 k**a asante kwako. Mwezi wa 1 mpaka wa 3 kutakuwa na kozi ya kingereza kwa miezi 2 kuanzia tarehe 09/01 mpaka mwezi wa 3 na atalipa 150,000 na mwezi wa 3 ataanza kozi ya malezi ya watoto wadogo ngazi ya cheti kwa mwaka mmoja. Ada yake ni 1,355,000 na atalipa kwa awamu 4 na ataanza na 370,000 mwezi wa 3. Chakula anajitegemea. Unaweza uka nicheki kwa 0715920082 mwl. Mkuchu

24/06/2022

Bubujiko

Sasa ngoja niwape mchongo wa chuo cha Ualimu Mtumba kwamba ukileta mwanafunzi mmoja akifika chuoni wewe utakaemleta utap...
10/06/2022

Sasa ngoja niwape mchongo wa chuo cha Ualimu Mtumba kwamba ukileta mwanafunzi mmoja akifika chuoni wewe utakaemleta utapata 10,000 kwahiyo wakija 100 basi milioni yako fasta. Iko hivi mwezi huu wa 7 na kila mwezi wa saba tunapokea wanafunzi wa UALIMU WA SHULE YA MSINGI kwa Walio maliza form 4 na wamepata ufaulu wa div1-3. Ada kwa mwaka wa 1 ni 1, 265,000 na wa pili ni 1, 245,000/= na form 20,000 na Ada inalipwa kwa awamu 4. Anza sasa upate hela. Chakula ananunua cafeteria.
Kila mwezi wa 8 tunaanza udaili wa ualimu wa chekechea kwa mwaka mmoja ambapo awe Ana ufaulu wa div1-4 na Ada yake ni 1,325,000 na form 20,000, kumbuka mchongo upo pale pale. Tunawapokea mwezi wa 8 na wa kwanza kila mwaka
MWAMBIE MWEZIO. PIGA SIMU 0715920082 UPATE MCHANGANUO VIZURI. Karibu Chuo cha ualimu Mtumba, Uelimike ukaelimishe.

Walimu tarajali akili nyingi
18/04/2022

Walimu tarajali akili nyingi

Many talents from MTC
10/03/2022

Many talents from MTC

Address

Mtumba Teachers College
Dodoma
432

Opening Hours

Monday 08:30 - 05:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30

Telephone

+255656667880

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuo Cha Ualimu Mtumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category