EARLY CHildhood psychologist's

EARLY CHildhood psychologist's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EARLY CHildhood psychologist's, Education, 70001, Dodoma.

Karibuni nyote
13/12/2025

Karibuni nyote

Karibuni nyote shule yetu ya mfano ya awali na Msingi chimwaga iliyopo ndani ya chuo kikuu Cha Dodoma tuna walimu bora, ...
06/11/2024

Karibuni nyote shule yetu ya mfano ya awali na Msingi chimwaga iliyopo ndani ya chuo kikuu Cha Dodoma tuna walimu bora, mazingira bora ya kujifunzia kwa upendo,Tunalea kwa uvumilivu na Tunafundisha kwa bidii #

18/10/2024
Dodoma
18/10/2024

Dodoma

Waebrania 13 : 14 hapa hatuna mji udumao bali twautafuta ule ujao
05/10/2024

Waebrania 13 : 14 hapa hatuna mji udumao bali twautafuta ule ujao

Maamuzi magumu huenda yakaleta heshima
27/08/2023

Maamuzi magumu huenda yakaleta heshima

03/10/2021

Protect children today to create better gerelation

Minyilolo kwa watoto ni sawa na kutengeneza kizazi cha manyani
09/05/2020

Minyilolo kwa watoto ni sawa na kutengeneza kizazi cha manyani

Kadri unavyobalikiwa jaribu kuwa karibu na watoto wenye huitaji ili uludishe tabasamu lao,kumbuka kuna watoto wanaishi k...
09/05/2020

Kadri unavyobalikiwa jaribu kuwa karibu na watoto wenye huitaji ili uludishe tabasamu lao,kumbuka kuna watoto wanaishi ktk mazingira magumu kwani kuna yatima,wagonjwa,wanaoishi na wazee ambao hawawezi kuwahudumia

kizazi cha baadae kinatengenezwa kwenye misingi ya awali
04/05/2020

kizazi cha baadae kinatengenezwa kwenye misingi ya awali

30/04/2020

Watoto wanakuwa wasikivu zaidi wanapopewa maelekezo ya nini cha kufanya na kupongezwa wanapofanya jambo kwa usahihi kuliko wanapogombezwa pale wanapokosea..

Address

70001
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EARLY CHildhood psychologist's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category