Wazazi HIJRA Seminary

Wazazi HIJRA Seminary Ni shule ya Seminary inachukua wanafunzi wa Dini zote na jinsia Zote kuanzia kidato cha Kwanza hadi cha sita. BETTER EDUCATION FOR BETTER LIFE.

06/04/2020

Timiza wajibu wako

Necta 2019 form four 💪 @ Mombo
08/03/2020

Necta 2019 form four 💪 @ Mombo

Matoko kidato cha pili 2019  ..inshaallah tunajipanga zaidi 2020 @ Tanga Region
08/03/2020

Matoko kidato cha pili 2019 ..inshaallah tunajipanga zaidi 2020 @ Tanga Region

2020 stategic planning @ Chinangali, Dodoma, Tanzania
25/02/2020

2020 stategic planning @ Chinangali, Dodoma, Tanzania

19/02/2020

Mazoezi kwa afya.....stara muhimu

18/02/2020

Kidato cha kwanza
Kiswahili namba wani....nitakisoma kwa fani.....

Serikali ya wanafunzi wa Hijra Seminary wamepata bahati ya Kuhudhuria Seminary ya Viongozi inayoendeshwa na Taasisi ya N...
01/02/2020

Serikali ya wanafunzi wa Hijra Seminary wamepata bahati ya Kuhudhuria Seminary ya Viongozi inayoendeshwa na Taasisi ya NAMA FOUNDATION,

Semina hii inaendelea huko jijini Dar es salaam kwaajili ya kuwanoa kuwa viongozi bora katika shule yetu.

Hima wazazi waleten watoto wenu Hijra Seminary. Kwamba sasa tunaenda na wakati.

14/10/2019

Mabint wa kidato cha kwanza wakiimba Qaswida ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha nne 2019

Wahitimu wa kidato cha nne 20190788176571
14/10/2019

Wahitimu wa kidato cha nne 2019

0788176571

Mnamo tarehe 12/10/2019,tumefanya mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa Kidato cha nne mgeni Rasmi alikuwa Awe mheshimiwa nai...
14/10/2019

Mnamo tarehe 12/10/2019,tumefanya mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa Kidato cha nne mgeni Rasmi alikuwa Awe mheshimiwa naibu waziri wa Ajira na vijana lakini aliwakilishwa na mheshimiwa diwan wa kata ya Kizota Ndugu Jamali ama kwa hakika jambo lilifana sana.

Picha za wanafunzi wetu
09/09/2019

Picha za wanafunzi wetu

Address

Chunangali West
Dodoma
622

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 12:00
Saturday 09:00 - 15:00
Sunday 09:00 - 15:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wazazi HIJRA Seminary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category