30/04/2026
Tunaendelea na somo letu, kuijua Sheria ya Mtoto Tanzania, hairuhusiwi kumtumia mtoto katika sherehe za ndoa, maonesho ya fasheni au matukio mengine k**a hayo nyakati za usiku, adhabu kwa wale wanaokiuka sheria
Section 14 na Section 158(2) of Cap13 R.E 2019
Lengo kila mtanzania ajue sheria inayomlinda mtoto wa kitanzania, tuwalinde watoto wetu kwa ustawi wa jamii yetu na kizazi kijacho, watoto ni Taifa la kesho