Academic Success Coach -TZ

Academic Success Coach -TZ MSHAURI WA KITAALUMA

Jina langu Mwl: Frederick Julius Msangi ni mkufunzi msadizi katika Chuo Kiuu cha Dodoma toka mwaka 2011. KARIBU SANA

Ni mbobezi katika elimu ya ualimu na mshauri wa maswala ya kitaaluma.

KARIBU KUJIUNGA NA KAMBI MAALUM YA WANAVYUO TARAJALI ITAKAYO FANYIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA
01/08/2024

KARIBU KUJIUNGA NA KAMBI MAALUM YA WANAVYUO TARAJALI ITAKAYO FANYIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Kambi malumu kwa wanachuo tarajali. Kambi hii ni kwa ajili ya kumuandaa mwanafunzi ili awe na uwezo wa kukabiliana na elimu ya Chuo Kikuu. Katika kozi hii, mshiriki atapata kozi kamili ya maswala ya TEHAMA(Mfano matumizi ya akili mnembe katika elimu) yaani ICT Profficiency Course (IPC) . Mhitimu ata...

Happy First Birthday My Daughter: Mungu akulinde. Tunajifunza mengi sana kwa kukulea wewe. Tunauona upendo wa Mungu kwet...
07/04/2024

Happy First Birthday My Daughter: Mungu akulinde. Tunajifunza mengi sana kwa kukulea wewe. Tunauona upendo wa Mungu kwetu tukikutazama. Mungu akulinde mwangu.

Mungu ni Mwema Kila Wakati. Hongera Mwanangu kwa Kuhitimu STD VII. Miaka tisa shuleni sio Mchezo.
02/09/2023

Mungu ni Mwema Kila Wakati. Hongera Mwanangu kwa Kuhitimu STD VII. Miaka tisa shuleni sio Mchezo.

Ungana Nami Tujifunze Kidijitali: Tembelea
12/09/2022

Ungana Nami Tujifunze Kidijitali: Tembelea

The Training Media Includes Animation, Video tutorials, and Digital Books, Digital Coaching form Expatriates (reputable Coaches) from Tanzania and outside.

Yoga: Mazoezi malumu ya kusadia mwili na ubongo wako.
08/09/2022

Yoga: Mazoezi malumu ya kusadia mwili na ubongo wako.

YOGA: Mazoezi yenye faida nyingi katika mwili na Ubongo wa mwanafunzi na mwanadamu kwa ujumla. Mazoezi haya upunguza mwili na kuongeza uwezo wa kufikiri. Pi...

Kozi fupi tunayo iendesha Chuo Kikuu Cha Dodoma, kuongeza mafanikio ya kitaaluma kwa wanafunzi wa vyuo Tanzania
08/09/2022

Kozi fupi tunayo iendesha Chuo Kikuu Cha Dodoma, kuongeza mafanikio ya kitaaluma kwa wanafunzi wa vyuo Tanzania

Sikiliza mahojiano ya Channel 10 Kuhusu Mafanikio katika elimu ya Juu.
08/09/2022

Sikiliza mahojiano ya Channel 10 Kuhusu Mafanikio katika elimu ya Juu.

https://youtu.be/RV5VA7BTpmU
06/09/2022

https://youtu.be/RV5VA7BTpmU

Maeleza kuhusu kozi ya siku 14 inatolewa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kozi hii ni kwa ajili ya wanafunzi watarajiwa na walioko masomoni katika vyuo vikuu....

https://youtu.be/cXrjoECglt4
06/09/2022

https://youtu.be/cXrjoECglt4

Maelezo kuhusu Chaneli ya Academic Success Coach:Kujiunga nasi kati YouTube kwa ku subscribe, like na kubonyeza Bel button na Facebook like page yetu na ku J...

27/08/2022

Chuo kikuu cha Dodoma kinakualika katika kozi ya kumuandaa mwanachuo na Elimu ya Chuo Kikuu (Higher Education Academic Success) . Kozi hii itakupa ufahamu mkubwa Juu ya TEHAMA (ICT proficiency) na namna ya ufunzaji(learning skills), uandishi(writing skills) na mengine mengi. Kozi hii itafanyika tar 1 -15/10/2022 awamu ya kwanza na tar 17-30/10/2022 awamu ya pili. Tupe nafasi ya kukuepusha na kufeli elimu yako ya chuo kikuu. Kwa maelezo Zaidi piga namba 0655637188

Address

P. O Box 490 Dodoma
Dodoma
41218

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Academic Success Coach -TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share