MOAFA

MOAFA Taasisi yetu inalenga kutoa mafunzo kwa kujikita zaidi katika uweledi kwa vitendo (competence based training).

Montana Acting & Film Academy ni taasisi ya mafunzo ya muda mfupi, inayolenga kutoa mchango katika kuboresha ubora na viwango kwenye tasnia ya sanaa kwa njia ya kuwajengea uwezo wahusika wa tasnia hii katika makundi makubwa matatu. Wachezaji (Actors), Waandishi (Script Writters) na Waongozaji (Directors).

Address

Kibada
Dar Es Salam
255

Opening Hours

Monday 16:30 - 19:30
Tuesday 16:30 - 19:30
Wednesday 16:30 - 19:30
Thursday 16:30 - 19:30
Friday 16:30 - 19:30
Saturday 10:00 - 14:00
16:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MOAFA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share