28/08/2026
EBENEZER! HAPA NDIPO BWANA ALIPOTUSAIDIA
Bwana Yesu Asifiwe watu wa Mungu alie Hai
Apostle Kelvin & Prophetess Deborah pamoja na uongozi mzima wa kanisa la Palm Church wanakualika kwa moyo mkunjufu katika Ibada ya Shukrani (1st Anniversary Thanksgiving Service) ya Palm Church.
Tunakusanyika pamoja kumrudishia Mungu utukufu, sifa na heshima kwa uaminifu wake mkubwa na matendo makuu aliyotutendea kwa mwaka mzima.
Usipange kukosa mtembeo huu wa kipekee pamoja na Watumishi wa Mungu: Apostle Mathew George Kihiyo, Reverend Sialove Lukumay, Pastor Shedrack, na Prophet Baraka Yoramu .
🗓️ Jumapili, 30 Agosti 2026
⏰ Saa 8:00 Mchana (2:00 PM)
📍Mahali: Mbezi Msakuzi, Kwalubaba (Kituo cha Mashine, Dar es Salaam)
📞 Mawasiliano: +255718521142 | +255718521146
Haleluya! Njoo tuungane pamoja kumshukuru Mungu na kupokea baraka zako za msimu mpya