VENA Pre-School

VENA Pre-School VENA International Schools

07/12/2016

VENA PRESCHOOL AND DAYCARE INAKULETEA HUDUMA YA BABYSITTER ,kulea watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 3.baada ya hapo Anna PreSchool moja kwa moja-Pia tuna huduma ya emergency mfano,msichana wa kazi kaondoka ghafla na unasubiria msichana wa kazi unaweza kumleta mtotoutakulelea hadi pale utapata msichana wa kazi-Tupo Tabata Kinyerezi piga simu 0684 555 577 au 0715 584540

Our Classes
07/07/2016

Our Classes

Leo ilikuwa moja ya  siku ya furaha VENA pre school, tulifurahi pamoja na watoto, asante kwa wazazi na walezi mlioleta w...
18/06/2016

Leo ilikuwa moja ya siku ya furaha VENA pre school, tulifurahi pamoja na watoto, asante kwa wazazi na walezi mlioleta watoto wenu wakafurahi sana. Mungu awalee na kuwakuza watoto wetu katika misingi iliyobora na kumjengea maisha bora sasa na baadae .

Wakazi wa Tabata/Segerea/Kinyerezi/Ukonga nk.Habari njema kwa wazazi na walezi ,tunawakaribisha siku ya 18 June 2016,kut...
30/05/2016

Wakazi wa Tabata/Segerea/Kinyerezi/Ukonga nk.Habari njema kwa wazazi na walezi ,tunawakaribisha siku ya 18 June 2016,kutakuwa kuna sherehe ya watoto kuanzia miaka 3-6 kutoka shule mbali mbali .K**a utamleta mtoto Comment nitamleta

Coming soon…Professional baby sitter at VENA…..from 8 months
17/03/2016

Coming soon…Professional baby sitter at VENA…..from 8 months

Michezo ni muhimu sana kwa watoto wetu,VENA tunajali hilo pia,Kwa mawasiliano 0715 584540/684 555 577
17/03/2016

Michezo ni muhimu sana kwa watoto wetu,VENA tunajali hilo pia,Kwa mawasiliano 0715 584540/684 555 577

Michezo ni muhimu sana kwa watoto wetu,VENA tunajali hilo pia,Kwa mawasiliano 0715 584540/684 555 577 with Veronica G. S...
17/03/2016

Michezo ni muhimu sana kwa watoto wetu,VENA tunajali hilo pia,Kwa mawasiliano 0715 584540/684 555 577 with Veronica G. Sigalla

25/02/2016

Tunamshukuru Mungu kwa upendo wake,Habari ya asubuhi

23/02/2016

VENA Pre-school ni sehemu salama na bora kwa mtoto wako, tunazingatia elimu iliyo nzuri na bora kwa mwanao ambayo inampa mwanao msingi ulio imara kuanzia sasa mpaka chuo kikuu, Mlete Mwanao nasi tutamlea na kumtunza

22/02/2016
22/02/2016
a
22/02/2016

a

Address

Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VENA Pre-School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category