SAMKY Entrepreneurship Network

SAMKY Entrepreneurship Network Natoa elimu ya ujasiriamali, nauza viatu na sandols za kiume aina zote kwabei ya jumla na rejarejana
na pia nauza vifaa vya ujenzi. Bio gas
2.

Napatikana Dar es salam Kariakoo mtaa wa Kongo/Narung'ombe
na Mbezi kibanda cha mkaa. SAMKY Entrepreneuship Network ni taasisi ya kijamii inayo jihusisha na utoaji wa elimu ya ujasiria mali kwa makundi yote bila kubagua jinsia,kabila,umri,dini. rangi, itikadi, elimu, au namna yoyote ile mtu/jamii inavyo weza kujipambanua. Inajishughulisha na utengenezaji wa bidhaa zinazo tokana na malighafi za vi

wandani (chemicals products) na malighafi zitokanazo na mafaka (agriculture products) pamoja na ufugaji wa ndege na wanyama bila kusahau pia masuala ya kilimo. Pamoja na hayo Taasisi pia ina toa elimu ya biashara. hii ikiwa nipamoja na kufahamu Maana ya “Mjasira mali”
2) Sifa za mjasiria mali
3) Nguzo za ujasiria mali (Kutaja machache).
“B”
1) Biashara
2) Aina za biashara
3) Mbinu za biashara
4) Uhusiano kati ya biashara na jumuiya

“C”
1) Mtaji
2) Jinsi ya kutafuta mtaji
3) Mfumo wa uzalishaji (Kutaja machache)

“D”
1) Haki miliki
2) Alama za biashara

“E”
1) Masoko
2) Kupanga gharama na bei
3) Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business plan) nk

“F”
1) Kuweka kumbukumbu
“G”
1. Bima na mwisho ni
Kuunda vikundi. Wakati kwenye masomo kwanjia ya vitendo kuna utengenezaji wa

1) Sabuni ya unga ya kufulia
2) Sabuni ya maji ya kufulia
3) Sabuni ya maji ya kuoshea vyombo
4) Sabuni ya maji ya kunawia mikono
5) Sabuni ya kusafishia chooni
6) Dawa ya kuondoa madoa
7) Sabuni ya mche ya kufulia
8) Sabuni ya majivu ya kuogea & ya kufulia
9) Sabuni ya mche ya kufulia & kuogea
10) Tiles cleaner
11) Window cleaner
12) Air fresh
13) Shampoo
14) Stain remover
15) Carpert cleaner
16) Mishumaa
17) Chalks
18) Sabuni za magadi .(Kutaja machache)
Pia ninafundisha kutengeneza
1. Batic na

BIDHAA ZITOKANAZO NA NAFAKA.
1. Kutengeneza unga wa lishe
2. Kusindika maziwa fresh na mtindi
3. Kutengeneza tomato sosi na chil sosi
4. Kutengeneza siagi
5. Kutengeneza wine
6. Kutengeneza tambi
7. Kutengeneza cake
8. Kutengenaza clips
9. Kutengeneza mikate
10. Kutengeneza maziwa ya soya na bidhaa nyingine zitoka nazo na nafaka nyingine nyingi.

For saleCall:07158828170756882817
22/08/2026

For sale
Call:
0715882817
0756882817

22/08/2026
20/08/2026

𝐍𝐄𝐖 𝐒𝐓𝐎𝐂𝐊 :
𝐐𝐮𝐚𝐥𝐢𝐭𝐲 𝐋𝐞𝐚𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐬𝐡𝐨𝐞𝐬 & 𝐬𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐬

𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃: 𝐂𝐋𝐀𝐑𝐊𝐒, 𝐙𝐀𝐑𝐀 & 𝐒𝐀𝐍𝐓𝐎𝐍𝐈

𝐒𝐈𝐙𝐄:𝟑𝟗,𝟒𝟎,𝟒𝟏,𝟒𝟐,𝟒𝟑,𝟒𝟒,𝟒𝟓,𝟒𝟔

Call:
+255715882817
+255756882817

𝐐𝐔𝐀𝐋𝐈𝐓𝐘 𝐈𝐒 𝐀𝐒𝐒𝐔𝐑𝐄𝐃

𝐍𝐄𝐖 𝐒𝐓𝐎𝐂𝐊 :𝐐𝐮𝐚𝐥𝐢𝐭𝐲 𝐋𝐞𝐚𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐬𝐡𝐨𝐞𝐬 & 𝐬𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐬𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃: 𝐂𝐋𝐀𝐑𝐊𝐒,  𝐙𝐀𝐑𝐀 & 𝐒𝐀𝐍𝐓𝐎𝐍𝐈𝐒𝐈𝐙𝐄:𝟑𝟗,𝟒𝟎,𝟒𝟏,𝟒𝟐,𝟒𝟑,𝟒𝟒,𝟒𝟓,𝟒𝟔Call:+255715882817+2...
20/08/2026

𝐍𝐄𝐖 𝐒𝐓𝐎𝐂𝐊 :
𝐐𝐮𝐚𝐥𝐢𝐭𝐲 𝐋𝐞𝐚𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐬𝐡𝐨𝐞𝐬 & 𝐬𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐬

𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃: 𝐂𝐋𝐀𝐑𝐊𝐒, 𝐙𝐀𝐑𝐀 & 𝐒𝐀𝐍𝐓𝐎𝐍𝐈

𝐒𝐈𝐙𝐄:𝟑𝟗,𝟒𝟎,𝟒𝟏,𝟒𝟐,𝟒𝟑,𝟒𝟒,𝟒𝟓,𝟒𝟔

Call:
+255715882817
+255756882817

𝐐𝐔𝐀𝐋𝐈𝐓𝐘 𝐈𝐒 𝐀𝐒𝐒𝐔𝐑𝐄𝐃

Karibu ujupatie viatu vyenye ubora usiotiliwa shaka. Nipigie:07158828170756882817Location: Kariakoo
19/08/2026

Karibu ujupatie viatu vyenye ubora usiotiliwa shaka.
Nipigie:
0715882817
0756882817
Location: Kariakoo

Mali ikosokoni. Bei ni rakifi. Popote ulipo nitakufikia. Nipigie:07158828170756882817
18/08/2026

Mali ikosokoni.
Bei ni rakifi.
Popote ulipo nitakufikia.
Nipigie:
0715882817
0756882817

Kwamahitaji unawaza kunipigia:  0756882817Whatsapp0715882817
12/08/2026

Kwamahitaji unawaza kunipigia: 0756882817
Whatsapp
0715882817

Mali iko sokoni. Karibu ujipatie07158828170756882817
26/07/2026

Mali iko sokoni.
Karibu ujipatie
0715882817
0756882817

Nipigie:07158828170756882817
24/07/2026

Nipigie:
0715882817
0756882817

Address

Morogoro Road
Dar Es Salam
12582DSM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAMKY Entrepreneurship Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to SAMKY Entrepreneurship Network:

Shortcuts

Share