Picha shindano la wazo bora la biashara
BESP Tanzania
Mradi unawawezesha watanzania wote kusoma ujasiliamali na baadae kuingia kwenye shindano la WAZO BORA la Biashara na kupata mtaji hadi Mil 20 kwa washindi.
01/02/2019
Pakua BESP App kupitia https://bit.ly/2M6lJ6V au kwenye Google Play Store
26/01/2019
Fursa kwa vijana wote kujifunza ujasiliamali, Pakua BESP App kupitia https://bit.ly/2M6lJ6V au kwenye Google Play Store.
17/01/2019
11/01/2019
Pichan ni balozi wa Denmark Hon EINAR HEBOGARD nchini Tanzania akisaini makubaliano ya ufadhili wa mradi wa Uwezeshaji wa Vijana uitwao TADIYE katika uzinduzi wa mradi huo (June 2018). Tadiye ni mradi uliolenga kufikia watanzania wengi hususani vijana katika kuwawezesha kijasiriamali. Pakua app ya BESP bure sasa kujiunga
11/01/2019
Jifunze BURE mbinu mbalimbali za kukuza biashara yako sasa kupitia BESP APP. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye shindano la wazo bora la biashara kushindania hadi kiasi cha TSH Mil 20.
10/01/2019
Pata mafunzo yatakayokuwezesha kupata wazo la biashara kupitia Application ya BESP Tanzania. Pakua App hiyo sasa usome na kuingia katika shindano la WAZO Bora la biashara upate kushinda hadi Millioni 20.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Website
Address
Costech Building Kijitonyama Sayansi
Dar Es Salaam
14113
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |