East Africa Business & Media Training Institution

East Africa Business & Media Training Institution We are an incubator for businesses and a hub for training in and out of service business writers and journalists.

We recruit young graduates and others who are interested in self-employment, nurture and give them entrepreneurial skills by training, connect them with the industry, nurture their business ideas into full business potential.

Eabmti inawaletea mfululizo mwingine wa vipindi vya midahalo ya kisiasa kupitia kampeni yake mpya ya " MY VOTE MY COUNTR...
04/08/2015

Eabmti inawaletea mfululizo mwingine wa vipindi vya midahalo ya kisiasa kupitia kampeni yake mpya ya " MY VOTE MY COUNTRY" kura yangu nchi yangu. kaa tayari kwa ujio mpya, kwa habari na maelezo like na kushare ukurasa huu.

https://www.facebook.com/Eabmtz

Mdahalo kat ya Ukawa na CCM ambapo kila upande ulionyesha ni kiasi gani wako makini na uwajibikaji kwa wananchi, waongea...
01/08/2015

Mdahalo kat ya Ukawa na CCM ambapo kila upande ulionyesha ni kiasi gani wako makini na uwajibikaji kwa wananchi, waongeaji wakuu walikuwa Mh. Tundu Lissu (Chadema),Mh. Steven Wassira(CCM) na Profesa Ibrahim Lipumba ( CUF).

Mdahalo huu uliandaliwa chini ya " The Tanzania we want" inayoratibiwa na Eabmti na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange, chini ni baadhi ya picha na matukio ndani ya mdahalo huo, kwa maelezo zaidi na majibu na sera za waongeaji wakuu tembelea blogu yako ya www.bizztokk.blogspot.com au Youtube : eabmti.

kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu

Mdahalo wa katiba kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ...
01/08/2015

Mdahalo wa katiba

kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu

Eabmti moja kati ya shughuli zetu ni kuandaa na kusimamia midahalo ya kusisimua na yenye kutoa jakamoyo za wananchi kuhu...
01/08/2015

Eabmti moja kati ya shughuli zetu ni kuandaa na kusimamia midahalo ya kusisimua na yenye kutoa jakamoyo za wananchi kuhusu masuala ya kisiasa,kielimu na kijamii pia kupitia kipengele cha "Tanzania we want" ( Tanzania tunayoitaka) chini ya Rosemary Mwakitwange.

Mdahalo wa uchaguzi mdogo Igungakwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali li...
01/08/2015

Mdahalo wa uchaguzi mdogo Igunga

kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu

Mdahalo kuhusu itikadi za vyama hapa nchini ulioletwa na Eabmti na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange
01/08/2015

Mdahalo kuhusu itikadi za vyama hapa nchini ulioletwa na Eabmti na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange

Mdahalo uuzwaji wa UDA uliofanyika mwaka 2011kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti...
01/08/2015

Mdahalo uuzwaji wa UDA uliofanyika mwaka 2011

kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu

mdahalo wa CUF mwaka 2010 wakipata nafasi ya kumnadi na kujibu maswali ya wananchi kupitia mgombea wao Prof. Ibrahim Lip...
01/08/2015

mdahalo wa CUF mwaka 2010 wakipata nafasi ya kumnadi na kujibu maswali ya wananchi kupitia mgombea wao Prof. Ibrahim Lipumba

Mdahalo wa wagombea vijana mwaka 2010 kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadh...
01/08/2015

Mdahalo wa wagombea vijana mwaka 2010

kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu.

Mdahalo uliofanyika mwaka 2010,chini ya "The Tanzania we want" Tanzania tunayoitaka, Mgombea tiketi ya Urais kupitia Cha...
01/08/2015

Mdahalo uliofanyika mwaka 2010,chini ya "The Tanzania we want" Tanzania tunayoitaka, Mgombea tiketi ya Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo alipata nafasi ya kujieleza na kuulizwa maswali na wananchi,Mdahalo huu uliandaliwa na EABMTI chini ya Brand yake " The Tanzania we want " na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange.

Kwa habari na maelezo zaidi kuhusu midahalo na shughuli za Eabmti like page yetu, tovuti: www.eabmti.co.tz twitter eabmti_tanzania, Youtube:Eabmti.

Address

Msasani
Dar Es Salaam
33432

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East Africa Business & Media Training Institution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category