TESO TZ

TESO TZ this is an NGO dealing with improving students academic performance and talents

14/10/2015

Wewe ni kijana unayependa ujasiriamali? Ungana nasi katika kuleta mabadiliko katika jamii yako kwa kuwa mwanachama wa TESO, kwa maelezo zaidi piga 0654-559327

k**a mwananchi wa kawaida, umefanya nini kuboresha elimu ya watanzania?    letu sote
26/08/2015

k**a mwananchi wa kawaida, umefanya nini kuboresha elimu ya watanzania? letu sote

TESO tulikuwepo Remnant Secondary School tukitoa semina ya ujasiriamali..
31/07/2015

TESO tulikuwepo Remnant Secondary School tukitoa semina ya ujasiriamali..

asante kwa kutuelewa Nelson Kimmy Temu
25/07/2015

asante kwa kutuelewa Nelson Kimmy Temu

TESO ilikuwepo Vituka Secondary, ikitoa semina ya ujasiriamali
24/07/2015

TESO ilikuwepo Vituka Secondary, ikitoa semina ya ujasiriamali

15/07/2015

sasa unaweza kupata habari zetu kupitia website yetu.....www.tesotz.com

hii ni mojawapo tu ya shule zenye matatizo yafananayo na haya..... hakuna wa kutuletea maendeleo zaid ya sisi wenywe kua...
12/07/2015

hii ni mojawapo tu ya shule zenye matatizo yafananayo na haya..... hakuna wa kutuletea maendeleo zaid ya sisi wenywe kuamua kujitoa kwa ajili ya nchi yetu.... ungana nasi kufanikisha hili....piga 0784886867, pamoja tunaweza

One among objectives of TESO is to promote innovation among students.....
11/07/2015

One among objectives of TESO is to promote innovation among students.....

wanahitaji msaada wetu ili wawe na elimu bora....ungana nasi katika kuboresha elimu yao
09/07/2015

wanahitaji msaada wetu ili wawe na elimu bora....ungana nasi katika kuboresha elimu yao

19/05/2015
11/05/2015

Save the Tanzanian nation By empowering its students, More details on www.tesotz.com

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TESO TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to TESO TZ:

Shortcuts

Share

Category