Tanzania yetu

Tanzania yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania yetu, Education, Kinondoni mkwajuni, Dar es Salaam.

12/05/2024
Jambo lolote linalokutia huzuni, Stres,Unyonge,ina maanisha ilo jambo ni kubwa kuliko mtazamo wako.Lakini Ukibadili Mtaz...
30/06/2020

Jambo lolote linalokutia huzuni, Stres,Unyonge,ina maanisha ilo jambo ni kubwa kuliko mtazamo wako.
Lakini Ukibadili Mtazamo wako kuwa mkubwa kuliko ilo jambo hilo linalokukabili..Utaona kiwepesi kabisa unaweza kulitatua
Utakuta Mtu anasema mahusiano yamenishinda,Biashara zimenishinda,masomo yamenishinda wengine mpaka wanadiriki kusema ndoa imewashinda
Ndugu:Tambua kwamba binaadam ni mkubwa sana kushindwa na vitu vidogovidogo Hivyo basi Usithubutu kusema kabisa "NIMESHINDWA" Kikubwa ni Kumtanguliza mungu huku ukipambana

Ukiachana na kigezo cha umri hivi ni kitu gani kitakufanya utoke kwenu ukaanza kujitegemea?
09/11/2019

Ukiachana na kigezo cha umri hivi ni kitu gani kitakufanya utoke kwenu ukaanza kujitegemea?

21/09/2019

Hivi kuna haja ya kutumia lugha moja kwenye elimu Yetu?

Tulaani vikali vitendo vinavylfanyika Afrika Kusini
04/09/2019

Tulaani vikali vitendo vinavylfanyika
Afrika Kusini

14/08/2019

Sambaza upendo
Kuwa mzalendo

07/10/2017
USIAMINI S*X KULIKO LOVE ITAKULA KWAKO Nani aliyekwambia k**a s*x ndo love? S*x ni zawadi tyu kwa lovers tena wanandoa e...
07/10/2017

USIAMINI S*X KULIKO LOVE ITAKULA KWAKO

Nani aliyekwambia k**a s*x ndo love? S*x ni zawadi tyu kwa lovers tena wanandoa eti utamkuta msichana anasema k**a unanipenda kwel nataka ulale na mimi ha ha ha ha nani aliyekwambia k**a s*x ndo love! Na hii si kwa wasichana tyu hata wavulana pia hudai hii kitu Jamani s*x ni kitendo cha mda mfupi tyu alafu tena basi ila upendo unaendelea k**a s*x ndo love hebu jiulize hapo ulipo ushas*x na watu wangapi na umeshaachana nao? Funguza mbali iyo takataka inayo amini s*x kuliko love na k**a upo katika mahusiano na mtu k**a huyo nakushauri achana naye kwan hana upendo na wewe. Mtu anayekupenda atakusikiliza na kukuheshimu na kukujali Watu wengi hujikuta wakipata maumivu katik**ahusiano yao.Mtu akikutenda ikiwa hajakutumia maumivu hupungua ila k**a amekutumia alafu akakutenda lazima utaumia mtu mwenye upendo wa kwel hawezi kukuumiza na k**a atakukosea lazima atakuomba msamaha. Hivi kitu ambacho mungu amekiita uzinifu kinageukaje kuwa ni upendo ?

Address

Kinondoni Mkwajuni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category