Mkombozi Health Center

Mkombozi Health Center Mtetezi wa afya ya ini | Nafundisha maisha safi kwa mwili & akili

Safari yangu ya detox ni yako pia | Fuatilia kwa maarifa & motisha

10/08/2026

FAIDA 5 ZA APPLE CIDER VINEGAR

08/08/2026

Jambo hili wengi hulipuuzia lakin nichanzo pia Cha kudhorofa kwa afya za watu wengi !!! Ulikua unalijua hili kweli ??!!

07/08/2026

Ulikua unalijua hili !!!

07/08/2026

Afya ya mtoto nimhimu kwa mwanao
Wewe mlezi hii inakuhusu

07/08/2026
06/08/2026

Unacho kula Leo ndo matokeo ya kesho

06/08/2026

Afya SIO GHARAMA NI UWEKEZAJI

Je, unalijua hili kuhusu Komamanga?Tunda hili si tu kwamba ni tamu, bali ni ngao madhubuti kwa afya yetu!✅ Kwa wenye Kan...
05/08/2026

Je, unalijua hili kuhusu Komamanga?
Tunda hili si tu kwamba ni tamu, bali ni ngao madhubuti kwa afya yetu!
✅ Kwa wenye Kansa: Komamanga limejaa viondoa sumu (antioxidants) na viambata k**a punicalagins vinavyosaidia kupunguza ukuaji na kuenea kwa seli za saratani na kupunguza uvimbe mwilini.
✅Kwa wenye Kisukari: Linasaidia kuboresha usikivu wa homoni ya insulin, kudhibiti sukari isipande kwa ghafla, na kulinda afya ya moyo dhidi ya madhara ya kisukari.
✍🏻 Ushauri: Ni bora kula punje za tunda lenyewe kuliko juisi za viwandani zenye sukari iliyoongezwa.
Tiririka kwenye maoni, je, unapenda kula komamanga kwa namna gani? 👇

🚨 Je, unajua? HPV ndiyo chanzo kikuu cha saratani ya shingo ya kizazi.HPV (Human Papillomavirus) ni virusi vinavyoambuki...
05/08/2026

🚨 Je, unajua? HPV ndiyo chanzo kikuu cha saratani ya shingo ya kizazi.
HPV (Human Papillomavirus) ni virusi vinavyoambukizwa zaidi kupitia kujamiiana. Mara nyingi mtu anaweza kuwa navyo bila kuwa na dalili yoyote.
⚠️ Aina hatari za HPV zinaweza kubaki kwenye seli za shingo ya kizazi kwa miaka mingi. Virusi hivyo husababisha mabadiliko kwenye seli, na bila kugunduliwa na kutibiwa mapema, mabadiliko hayo yanaweza kugeuka kuwa saratani ya shingo ya kizazi.
Kumbuka: ✅ Pata chanjo ya HPV ikiwa unastahili. ✅ Fanya uchunguzi wa mlango wa kizazi mara kwa mara. ✅ Tumia njia salama wakati wa kujamiiana.
🎗️ Kuzuia ni bora kuliko kutibu. Elimu na uchunguzi wa mapema vinaweza kuokoa maisha.
📞 Mkombozi Health Center Dr. Mkombozi +255 748 366 447

Address

Makumbusho Stand
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkombozi Health Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mkombozi Health Center:

Shortcuts

Share