05/12/2023
NAFASI ZA MASAOMO 2023-2024
TUNATOA MAFUNZO KWA KOZI ZIFUATAZO
1. UALIMU DARAJA "gredi A"
SIFA ZA MUOMBAJI
(a) Ufaulu wa Kidato cha IV DIVISION (I-III)
(b) Muda wa masomo MIAKA MIWILI tu
2 ASTASHAHADA YA UALIMU AWALI(CERTIFICATE IN NURSERY TEACHING)
SIFA ZA MUOMBAJI
(a) Ufaulu wa Kidato cha IV alama yeyote
(b) Masomo mwaka mmoja tu
3 STASHAHADA YA UALIMU SHULE ZA SEKONDARI(DIPLOMA IN SECONDARY TEACHING)
SIFA ZA MUOMBAJI
(a) Ufaulu wa Kidato cha Sita (VI) wa Principle mbili (E mbili) na kuendelea
(b) Muda wa masomo MIAKA MIWILI tu.
Pia ZIPO KOZI FUPI FUPI
CHUO CHETU
Kipo Kariakoo jijini Dar es Salaam, karibu na kituo cha mabasi yaendayo kasi.
Kina wakufunzi wazuri na waliobobea katika fani za ualimu
MAZINGIRA ni mzuri na miundombinu rafiki katika ujifunzaji.
Chuo kinafikika kirahisi toka pande zote za jiji la Dar es Salaam.
HOSTELI zipo kwa wanafunzi wa jinsi zote.
ADA utalipa kidogo kidogo kwa awamu tatu kwa mwaka. Na ada zetu ni nafuu sana.
KARIBU SANA
MAWASILIANO YETU
Simu Nambari
+255 675 049 992
+255 711 715 323
Email : [email protected]
[email protected]
Website :
http//www.alharamain.ac.tz