23/11/2025
*NADHARIA YA ONTOLOJIA YA KIBANTU*
*NADHARIA YA ONTOLOJIA YA KIBANTU: MTAZAMO WA KIFALSAFA KUHUSU UHAI NA KUWEPO*
*Utangulizi*
Dhana ya ontolojia ya kibantu ilifafanuliwa sana na mwanafalsafa Placide Temples aliyesema kuwa dunia ya Kibantu inaeleweka vyema kwa kuona kwamba kila kitu kina nguvu ya uhai winayounganisha ulimwengu.
Ontolojia ni tawi la falsafa linaloshughulikia asili ya uhai, uhalisia, na kile kinachoitwa βkuwaβ. Katika mazingira ya Kiafrika, hususan kwa jamii za lugha ya Kibantu, ontolojia imejengeka katika mitazamo, tamaduni, mila na matumizi ya lugha. Nadharia ya Ontolojia ya Kibantu ni mfumo wa kifalsafa unaojaribu kuelewa namna jamii hizi zinavyouona ulimwengu, uhusiano wa binadamu na mazingira, nafasi ya mizimu, na chanzo cha uhai.
Tofauti na falsafa za Magharibi ambazo mara nyingi huweka mkazo kwenye mtu binafsi k**a kitovu cha fikra, Ontolojia ya Kibantu huona kuwa uhai ni wa kijamii, kiroho, kimazingira, na kinahusisha mtiririko wa nguvu unaounganisha kila kitu.
Kusoma zaidi nadharia hii ni nyingine nenda EducentreApp
Ipakue hapa >>>> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.boom.edu
Ukishapakua Educentre App ifungue kisha chagua *Continue with Google* halafu chagua email yako itakayoletwa kiotomatiki na uendelee kufuata maelekezo mpaka mwisho.
*Ukishaingia ndani ya EducentreApp*
1. Fungua π Tertiary
2. Fungua π OUT
3. Fungua π OSW
4. Fungua π OSW 133
5. Hapo chagua NOTES