10/01/2015
Bado tunapokea watoto wa miaka 2 mpaka 6. Ada zetu ni nafuu sana na tunamlea mtoto kuanzia asubuhi mpaka saa 11 jioni.
Tupo Mbagala Kizuiani.
Mawasiliano; 0786-697939 au 0762-040957
Karibuni sana; EDUCATION FOR BRIGHT FUTURE.