24/08/2026
MASHINDANO YA KITAIFA YA UJUZI 2026….,WORLD SKILLS TANZANIA
MAISHA BAADA YA AFA
Kuanzia sasa Annacollections Fashion Academy(AFA) tutakuwa tunawaletea taarifa za wahitimu wetu jinsi wanavyoendelea huko sokoni baada ya kuhitimu masomo yao Annacollections Fashion Academy(AFA)
Super and talented AFA alumni Alex na Nurieth 👏👏👏 baada ya kuibuka washindi wa Mashindano ya kitaifa ya world skills yaliyofanyika mkoa Tanga
AFA it’s about Learning,connecting people with full package of business and life.
Endelea kufurahi na huduma za AFA popote Ulipo Tanzania, wapeni oda zenu Wanafunzi Wa AFA wanajua sana.
Join Annacollections Fashion Academy(AFA) and embark on a journey to success.
AFA: DISCOVER THE NEW YOU