Jifunze Uislamu

Jifunze Uislamu Jifunze mambo mbali mbali yanayohusu dini ya Kiislamu. Jifunze kusoma Quran,Wafahamu wanazuoni wa kiislamu na mchango wao katika dini kupitia ukurasa huu.

Ukurasa huu ni maalumu kwa wale wenye nia ya kujifunza Uislamu. Kupitia ukurasa huu utapata darsa mbalimbali za Uislamu na hasa Masomo ya Quran bila malipo yoyote. Masomo tunayapandisha kwenye Youtube Channel yetu ambayo inapatikana kupitia https://www.youtube.com/channel/UCSo9tkcRw8deS7LmrKc2Amg

Maswali na maoni yanakaribishwa. Tuandikie meseji kupitia ukurasa huu au piga simu namba +255 625 528326 kwa maelezo zaidi.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze Uislamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Jifunze Uislamu:

Shortcuts

Share