19/11/2025
๐ฆ๐๐ ๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐จ๐ก๐ญ๐ ๐ช๐๐๐ฆ๐๐๐ ๐จ
Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule za Sekondari Mkoa wa Dar es Salaam (DAMUSSA), imeandaa ๐ฆ๐ฒ๐บ๐ถ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ถ ya ๐๐ถ๐ธ๐ ๐ธ๐๐บ๐ถ (๐ญ๐ฌ) kwa wanafunzi wa Kiislamu wa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam.
๐ก Semina itafanyika:
IHSAN ISLAMIC SECONDARY SCHOOL, Kigamboni.
โฐ Tarehe:
Kuanzia 18/12/2025 hadi 27/12/2025.
๐ฏ Lengo:
Kuwajenga wanafunzi Kimaadili na Kitaaluma.
๐ Mambo watakayofundishwa.
1. Mbinu za kujisomea
2. Kuwa na heshima
3. Kufanya usafi binafsi na wa mazingira
4. Adabu za Kiislamu
5. Mafunzo ya swala kwa vitendo
6. Kuishi kwa malengo
7. Teknolojia na Uislamu (Artificial Intelligence, Internet, Computers)
8. Namna ya kutumia muda vizuri
9. Kuchangamkia fursa, ubunifu na kujiajiri
10. Adhkari za kila siku n.k
๐ฐ Gharama ya ushiriki:
Shilingi Elfu Arobaini (40,000/=) Tu. Gharama inajumuisha;
- Usafiri
- Chakula
- Cheti cha ushiriki
- Dharura za kiafya
- Vitabu mbalimbali
- Stationery
๐ก Kufanya maombi ya kushiriki:
Bonyeza link kujaza fomu kuomba ushiriki online: ๐
https://semina.damussa.org
๐Fomu ijazwe kwa usahihi. Na ilipiwe mara baada ya kuwa imejazwa.
๐ธ Tuma pesa ya ushiriki kwa namba ya simu 0659319215 (Mixx by Yas),
jina litatokea Mansury Pazi. Baada ya kufanya malipo, tuma ujumbe mfupi wenye jina la mshiriki kwenda kwenye namba hiyo.
Mwisho wa kujaza fomu hii ni 13/12/2025. Wahi sasa kabla ya nafasi kujaa.
โ๏ธ Kwa mawasiliano zaidi
Salum Fumo 0786749426
Abubakari Mpini 0712792246
Madam Sabrina 0717554576
Tafadhali sambaza ujumbe huu uwafikie na wengine.
Ahsante.
Mwl Kalunga Matovolwa.
Mratibu wa Programu.
0715001818
Bonyeza link hii kujisajili/kumsajili kijana wako kwenye semina na kambi ya DAMUSSA-2025