05/06/2026
📢 NAFASI ZA KAZI THE AMAZON COLLEGE (T)
🎓 The Amazon College (T) Limited inakaribisha maombi ya nafasi ya College Principal kwa kampasi zake za Arusha na Mwanza.
Ikiwa una shahada katika elimu au taaluma inayohusiana nayo, una uwezo wa kusimamia shughuli za chuo kwa ufanisi, pamoja na kuwa mbunifu na mwenye ari ya maendeleo, hii ni fursa yako ya kujiunga na taasisi inayolenga kutoa elimu bora.
✅ Kipaumbele kitatolewa kwa waombaji wanaoishi Arusha na Mwanza.
📩 Tuma CV yako kupitia: 📱 WhatsApp: 071 517 0754 📧 [email protected]
⏳ Mwisho wa kutuma maombi: 15 Juni 2026