VETA Kipawa Information and Communication Technology Center

Comments

Coz ya umeme inapatkana hapo chuoni???
nashid kujiung apo
je cna uzoefu wa kutumia komputer na cjafika form four je naweza kujiunga na kupata mafunzo
Na taka kujua garama za chuo
NAITWA PHARES SHARTIEL,NILiMALIZA SHORT COURSE YA ICT MWAKA 2012 HAPO,LAKINI SIKUFANIKIWA KUCHUKUA CHETI BAADA YA KUPATA KAZI NJE NA DAR,JE? KUNAUWEZEKANO WAKUPATA CHETI?
Mambo
Course Ya ICT mnatoa kwa muda gani?
kwa kusoma ITC unaweza kujiajiri mwenyewe
Bondia pazuri sana
Hakuna kozi ya muda mrefu hata miak2
Waswahili wanasema utamu wapipi mate yako !!!
Heri warionanjaa yahaki maana hao watashibisha

A Vocational Educational and Training Center that focuses more on Information and Communication Technology

Operating as usual

24/06/2021

Mnufaika wa Mafunzo ya Ufundi wa Simu katika Chuo Cha VETA Kipawa kupitia ufadhili wa SDF akielezea kwa undani kuhusu ufundi wa Simu za Mkononi Katika kongamano Maalum lilionadaliwa na TEA.

Bi Amina ni mnufaika wa Mafunzo haya, alianza mafunzo akiwa hana ujuzi wowote na Sasa amefungua ofisi yake ya Ufundi wa Simu Kariakoo.

Karibu VETA Kipawa upate mafunzo Kama haya. Piga 0714720381 kwa maelekezo zaidi.

08/06/2021

UKAGUZI WA 🚙 (GARI) KWAVITENDO.

Wanafunzi wa SMART Driving wakiendelea na Somo la ukaguzi wa Gari kwa Vitendo.

Wanajifunza kuhusu:
1. Mfumo wa Upoozaji
2. Mfumo wa Ulainishaji
3. Mfumo wa Umeme wa magari
4 Mfumo wa Engine
5. Mfumo wa Gear Box

Karibu ujiunge SMART Driving kwa Udereva wa Kisasa.

07/06/2021

JIPATIE KIPATO KIRAHISI

Njia Rahisi yakujipatia kipato ni #UJUZI#
Karibu VETA Kipawa Ujifunze Mafunzo ya CCTV Camera:-

1.Utajifunza Kufunga Kamera
2.Kufanya Matengenezo
3.Kusimamia Chumba cha mfumo wa CCTV Kamera (CCTV Camera Control Room). N.k

Tafadhali wasiliana nasi kwa Simu Na.0714 720 381 au fika chuoni kwetu Kipawa Jirani na uwaja wa Ndege wakimataifa wa Mwl J.k Nyerere.

@wizara_elimutanzania
@officialteatz
@vijanathinktank
@sido_chato
@vetatanzania16

31/05/2021

Mkuu wa chuo cha TEHAMA VETA Kipawa ICT anawatangazia wazazi na walezi wenye watoto wa shule za msingi na sekondari wa mkoa wa Dar es salam na maeneo yake ya jirani kuwa Chuo kimeanzisha mafunzo maalum ya TEHAMA kwa vitendo kwa kipindi cha likizo kuanzia tarehe 21 Juni – 3 Julai 2021 Chuoni VETA kipawa ,kwa gharama ya Tsh 60,000/=.

Walengwa wa mafunzo hayo ni:
- Wanafunzi wa darasa la 3- 7
- kidato cha 1- 6

Washiriki watajifunza:
-Kutumia vifaa vya kompyuta na programu zake (Hardware and Software) -Kuchapa kwa kasi kwakutumia program maalum ( Mavis Beacon)
-Matumizi ya mtandao (internet) kwa ajili ya masomo yao

Chuo Kipo Dar es salaam Karibu na Airport.

Mwisho wa kujisajili ni tarehe 21 Juni 2021

Kwa mawasiliano zaidi piga imu /Whatsapp: 0714720381
Au tembelea mitandao yetu ya kijamii
Facebook: Veta_Kipawa
Instagram: veta_kipawa
AU TOVUTI www.vetakipawa.ac.tz

23/05/2021

Karibu Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa kwa mafunzo ya Umahili ya Udereva wa Kisasa (SMART Driving) kwa Ada ya TSH 250,000 tu. Darasa linaanza Tarehe 31 May, wahi Sasa nafasi Ni Chache.

Piga au WhatsApp namba 0714720381 kwa maelekezo zaidi.

17/05/2021

KAZI KUU YA ENGINE
Ni kufua nguvu ambayo hutumika katika kulitembeza gari na kugeuza nguvu ya joto iliyopatikana katika uugawaji wa hewa na petrol na kuwa nguvu ya mwendo.

Hewa na Mafuta vinapoingia ndani ya engine kwa vipimo maalum vya pound hupata mgandamizo wa piston hivyo mchanganyiko huo huwa na joto kubwa sana na ndipo umeme hutokea na kusababisha mlipuko na kulazimisha piston kushuka chini na kusababisha mizunguko ya engine.

15/05/2021

Kutovaa #Mkanda#
kwa Dereva na Abira hasa
inapotokea #AJALI# kuna hasara kubwa sana;
(i)Kuumia sana maeneo muhimu kama kichwa na uti wa mgongo.

(ii)Mwili kutulia sehemu moja pasi na kutupwa nje ya gari wakati wa ajali kama inavyo onekana kwenye picha hapo juu.

(iii)Huongeza viatarishi vya kifo/vifo

Je, wajua faida za kufunga Mkanda wa usalama kwenye Gari?

14/05/2021

Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa kinawatakia Watanzania na Waislam wote Duniani Eid Mubarak.

12/05/2021

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Chuo cha VETA Kipawa Ndg. Octavian Peter, juu ya ubunifu wa chombo cha kutunzia taka chenye mfumo wa kielekroniki wakati wa Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, leo tarehe 11 Mei 2021.

[05/10/21]   KOZI YA UMEME WA MAJUMBANI KUANZA TAREHE 17.05.2021
ADA: TSH 250,000/=
Whatsapp 0714720381

VETA Kipawa Information and Communication Technology Center updated their phone number. 10/05/2021

VETA Kipawa Information and Communication Technology Center updated their phone number.

10/05/2021

Mafunzo ya Vitendo Kozi ya Udereva (SMART DRIVING) yakiendelea.

10/05/2021

Mafunzo ya Vitendo Kozi ya Udereva (SMART Driving)

05/05/2021

Viwanda vya Sasa vinahitaji wafanyakazi wenye ujuzi wa Electrical and Automation. Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa kinatoa mafunzo ya Programmable Logic Control (PLC) kwa gharama nafuu.

Kozi hii itakuwezesha kufanya kazi kwenye viwanda vinavyotumia Technology za Kisasa.

Kwa maelezo zaidi piga au WhatsApp namba 0714720381.

01/05/2021

Bw. Haji Abdallah kutoka Kitengo Ugavi Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa akipokea Hundi baada ya kutangazwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa Chuo Mwaka 2020/21 Katika Sherehe Maalum kuazimisha siku ya wafanyakazi.

Mkuu Wa Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa Eng. Sospeter Dickson Mkasanga akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa VETA Kipawa wakati wa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi duniani.

Wafanyakazi wa Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa wanawatakia wafanyakazi na Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa kitaendelea kutoa Huduma Bora kwa Watanzania hasa kwa kueneza ujuzi wa TEHAMA Katika sekta zote za Maendeleo ya kiuchumi.

25/04/2021

VETA Kipawa tunaendelea kupokea maombi ya Mafunzo kwa ufadhili wa Ofisi ya Waziri Mkuu Katika Kozi zifatazo:
- Ufundi wa Simu
- Ufundi wa Computer
- Ufundi Radio na TV
- Ufundi wa Umeme
- Ufundi wa Umeme Jua

Chuo kipo Dar es salaam, Karibu na Airports. Ukipanda Gari za Gongo la Mboto Shukia Kituo kinaitwa Kipawa.

[04/23/21]   Kozi ya SMART DRIVING CLASS D inaanza 27/04/2021 kwa TSH 250,000/= tu.
Piga 0714720381

21/04/2021
21/04/2021

Umeme wa Viwandani

21/04/2021
21/04/2021
21/04/2021
21/04/2021
18/04/2021

Karibu VETA Kipawa kwa mafunzo ya Umahili ya Kozi za Muda mfupi na Mrefu. Piga au WhatsApp 0744720381 kwa Maelezo zaidi.

17/04/2021

Wakazi wa Chanika, Kigogo Fresh, Pugu, Gongo la Mboto, Ukonga, Mombasa, Banana, Segerea, Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Luis Leo Team ya VETA Kipawa itakufikia kukupa maelekezo ya Kozi na Huduma mbalimbali tunazozitoa Katika Chuo chetu Cha TEHAMA VETA Kipawa.

Tupo kwa ajili Yako, tupo kukuhudumia, Karibu Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa

15/04/2021

Mkuu Wa Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa Eng. Sospeter Dickson Mkasanga (Pichani waliokaa Katikati) leo akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki baada ya ufunguzi Rasmi wa Mafunzo Maalum ya Usalama Barabarani yaliyoandaliwa na DHL Tanxania kwa ajili ya wafanyakazi wao.

Ili kutoa Huduma Bora kwa wateja wake, DHL Tanzania imewekeza Katika Usalama Barabarani kwa kuwajengea uwezo Madereva wake. Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa Kama mdau Mkubwa wa TEHAMA kinaendesha mafunzo hayo ya usalama Barabarani kwa kujumuisha matumizi ya TEHAMA (SMART DRIVING) kuongeza Usalama na ufanisi Barabarani.

13/04/2021

Karibu VETA Kipawa kupata mafunzo ya Graphics Design and Video Production. Piga au WhatsApp 0714720381 kwa maelekezo zaidi.

08/03/2021

Mkuu Wa Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa Eng. Mkasanga akiwa kwenye picha ya pamoja na Wafanyakazi Wanawake wa Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa leo wakati wa Maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani. Mkuu Wa Chuo amewatakia wanawake wote duniani siku njema, na kwamba anathamini Mchango Mkubwa wa wanawake kijamii na kiuchumi.

Wafanyakazi Wanawake wa VETA Kipawa ICT Centre wakiwa kwenye picha ya pamoja kusherekea siku ya Wanawake Duniani.

25/02/2021

SMART DRIVING VETA KIPAWA

[02/22/21]   Kozi ya SMART Driving Class C1, C2, C3 kuanza Tarehe 01.03.2021 kwa Ada ya TSH 250,000/

Piga 0714720381

[02/15/21]   Kozi ya SMART DRIVING CLASS C1, C2 na C3 inaanza Tarehe 01.03.2021

Piga 0714720381 kwa Maelekezo

Videos (show all)

Location

Telephone

Opening Hours

Monday 09:00 - 15:30
Tuesday 09:00 - 15:30
Wednesday 09:00 - 15:30
Thursday 09:00 - 15:30
Friday 09:00 - 15:30