08/10/2020
Chief Coordinator wa HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE iliyopo BUGURUNI, ILALA mkoa wa DAR ES SALAAM anayo furaha kubwa kukutangazia kwamba MHULA MPYA wa masomo kwa QT na KIDATO CHA NNE kwa mwaka 2020/2021 unaanza tarehe 12.OCTOBER 2020....πππππππ
Pia, HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE inakutangazia masomo ya PRE FORM ONE kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza darasa la Saba ili kuwaandaa kwa masomo ya KIDATO CHA KWANZA 2021. Masomo hayo ya PRE FORM ONE yataanza tarehe 12/10/2020 mpaka tarehe 12/01/2021 kwa gharama nafuu pamoja na ofa mbalimbali ambazo ni Madaftari Bure, Kalamu Bure, T-Shirt Bure na Begi Bure kwa wanafunzi wote.
Ewe mzazi/ mlezi au mtanzania yeyote yule, mlete mwanao, ndugu yako, ama rafiki yako HEKIMA UPLAND apate Elimu Bora na atimize ndoto zake na malengo yake katika elimu. Hakika uongozi na walimu wa HEKIMA UPLAND tunajituma na kujitoa ili kuhakikisha yeyote anayekanyaga ardhi ya HEKIMA UPLAND anafanikisha malengo yake na kutimiza ndoto zake.πππππππππ
HEKIMA UPLAND ni shule HURIA inayotoa mafunzo kwa mtindo wa QT(FORM ONE NA FORM TWO KWA MWAKA MMOJA), FORM THREE NA FORM FOUR KWA MWAKA MMOJA na FORM FIVE NA FORM SIX kwa mwaka mmoja...
Kumbuka HEKIMA UPLAND ina walimu makini, imara, wazoefu, wabobezi na wazalendo kwa mwanafunzi wao na Taifa lao kwa ujumlaππππππππ
HEKIMA UPLAND inapokea na kufundisha watu wa umri wowote ambao waliishia Elimu ya Msingi na kushindwa kuendelea na masomo ya sekondari na pia tunapokea wale waliofeli masomo ya sekondari na kushindwa kuendelea mbele.
Pia tunatoa TUITION ( LIKIZO TIME) kwa wanafunzi walio mashuleni kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kuanzia mwezi wa Desemba-January na June-July kwa kidato cha kwanza hadi cha sita.ππππππ
HEKIMA UPLAND ina michepuo ya ART, SCIENCE (PRACTICALS) na BIASHARA kwa O-LEVEL. Na kwa upande wa A-LEVEL kuna ART na BIASHARA(HKL, HGK, HGL, HGE, EGM ) pamoja na SCIENCE(mchepuo wa CBG)π
Tunaomba sana njoo haraka ukamilishe usajili kwani umeshaanza tayari.Tunashukuru kwa ushirikiano na kuwa sehemu ya NGUZO KUU YA UBORA WA HEKIMA UPLAND.....ππππ
NB: KUMBUKA KUKUHUDUMIA KWA UBORA WA HALI YA VIWANGO VYA JUU, NDIYO FAHARI YETU. K**A MOTTO WA HEKIMA UNAVYOLALAMA KWAMBA(Hekima; The Home of Acedemic Excellence) na (Hekima; A Bridge to University).
KWA MAWASILIANO PIGA 0754 483226, 0713 927003 na 0710 969832 KARIBU SANA.