Jifunze Kilimo Tz

Jifunze Kilimo Tz Kupitia Jifunze Kilimo Tz utapata mafunzo na ujuzi mbalimbali. Utapewa ushauri, huduma ya mbegu mbalimbali bila kusahau kutembelea shamba lako.

20/07/2026

Mpyaaa kabisaa.

Bei ya punguzo. Njoo inbox

15/07/2026

KUBWA KULIKOOOO

Kitabu kinachoelezea hatua kwa hatua kilimo cha Nyanya kinapatikana kwa bei poa kabisaa ya 10,000/- tu..

Kinapatikana kwa mfumo wa PDF tu. Piga/WhatsApp: 0758447040 upate nakala yako.

Lima kisasa, Mavuno endelevu!
********************************

Tufuatilie Instagram na YouTube kwa jina hilihilli la Jifunze Kilimo Tz.

15/07/2026

🌱 KARIBU Jifunze Kilimo Tz

Je, unataka kujifunza kilimo kinachozalisha faida?
Umefika mahali sahihi! πŸŽ‰

Katika ukurasa huu utajifunza mbinu za kisasa na rahisi zinazoweza kukusaidia kuongeza mavuno na kipato kupitia kilimo.
β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’β€’

Bonyeza follow sasa kupata elimu mpya kila siku
Jifunze Kilimo Tz

*
*
*

*
*
*





18/06/2025

Habari,

Wanahitajika wafanyakazi wa shambani watakaoweza kufanya kazi kwa mkataba. Wawe wanapatikana Dar au mikoa jirani. Kwa wale walioko mikoani wawe tayari kujisafirisha.

Wenye uzoefu wa kilimo cha mahindi watapewa kipaumbele. Piga simu 0715797489 kwa maelekezo zaidi.

Zingatia: Usipige simu k**a hauhitaji kazi hii.

Unatamani kujifunza kilimo cha muhogo...Mafunzo kuanzia kuandaa shamba hadi kuvuna yakujia kupitia ukurasa huu. Hii hapa...
23/01/2025

Unatamani kujifunza kilimo cha muhogo...Mafunzo kuanzia kuandaa shamba hadi kuvuna yakujia kupitia ukurasa huu. Hii hapa chini ni sehemu ya kwanza πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wakulima wa mihogo wamekua wakilalamika kuwa hawapati matokeo mazuri kwenye kilimo cha mihogo. Kutokana na sababu hiyo, tumekuandalia mfupulizo wa mafunzo ya...

13/01/2025

Habari,

Wanahitaji vijana wawili wa kufanya kazi za shambani kwa mkataba . Itapendeza k**a watakua wanapatikana maeneo ya Pwani/Dar es Salaam. K**a wako mikoani wawe tayari kujisafirisha kwa nauli zao.

Piga simu 0758447040 kwa mawasiliano zaidi.

16/04/2023

Habari,

Wanahitaji vijana wawili wa kufanya kazi za shambani . Itapendeza k**a watakua wanapatikana maeneo ya Pwani/Dar es Salaam. K**a wako mikoani wawe tayari kujisafirisha kwa nauli zao.

Piga simu 0758447040/0715797489 kwa mawasiliano zaidi.

06/02/2022

Wanahitajika vijana 10 wa kufanya kazi Kariakoo. Wawe wanapatikana maeneo ambayo wataweza kupanda gari moja hadi kariakoo.

Wawe hawajazidi miaka 20 kwa umri. Wanahitajika kabla ya Jumanne tarehe 28/6/2022.

Kwa maelezo zaidi piga simu sasa: 0758447040

03/07/2021

Kwa walimu wote Tanzania,
___________________________

Salaam,
Wewe ni mtu muhimu sana katika jamii. Una nguvu kubwa ya kubadili maisha ya watu wengi.

Una nafasi kubwa ya kujikwamua na kuondokana na hali duni licha ya kipato kidogo.

Una uwezo wa kuishangaza dunia na kuwafunga midomo wale wote walioamini kwamba ualimu ni nafasi ya chini na ya kudharauliwa huku wakisahau kuwa wamepita kwenye mikono yako - Mwalimu!

Popote ulipo Tanzania, tumia fursa zilizopo...tumia muda mwingi kutafakari...tenga muda ongea na watu walifanikiwa hata k**a sio walimu. Achana na dhana kuwa, mwalimu ni mtu duni maana hili limekuwa likikwamisha harakati za ukombozi wa mwalimu nchini.

Zinduka ewe mwalimu wa Tanzania, kazisake fursa!

Video nzima ipo YouTube: Andika Katoto Inspirational TZ utaipata yote.

Follow us:


__________________




Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
Tuesday 00:00 - 23:59
Wednesday 00:00 - 23:59
Thursday 00:00 - 23:59
Friday 00:00 - 23:59
Saturday 00:00 - 23:59
Sunday 00:00 - 23:59

Telephone

+255715797489

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze Kilimo Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Jifunze Kilimo Tz:

Shortcuts

Share

Category