The Tchr

The Tchr

We provide tutoring, language learning, and communication skills solutions to individuals and institutions, empowering them with skills, techniques, and other essential tools practically needed to add value to their lives and business.

Based in Dar es Salaam, we provide language and communication skills solutions to individuals and companies. Our service cover from general English courses to professional communication skills.

Operating as usual

The Tchr updated their address. 11/08/2021

The Tchr updated their address.

The Tchr updated their address.

19/10/2020

#SPECIALOFFER
Take your professional prestige to a new level by adding Fench to your arsenal of skills.

Use the link on the bio to register now.
New term starting 02 November.
Leave us a WhatsApp message if you need any further information and we will be sure to call you with FREE consultation.
+255658152022

Leave us a WhatsApp message if you need any further information and we will be sure to call you with a FREE consultation.

28/09/2020

IB, IGCSE, GCSE, NECTA

Math, Science, English Business.
Individualized learning programs.
Flexible timing and at a personal pace.

Contact us now to book for your session.
Call/SMS/WhatsApp +255658152022

Location:
9th Floor, Samora Tower,
Samora Avenue.

#theteacherscenter #thetchr

22/09/2020

Unahijati mwalimu wa tuition kwa ajili ya watoto wako?

Karibu The Teacher's Center kwa masomo ya English, science na mathematics.

Tupo ghorofa ya 9, jengo la Samora Tower, mtaa wa Samora.
Karibu.

20/09/2020

Mzazi ulishawahi kuulizwa swali la homework na mwanao likakutoa knockout? 😆

Usihangaike, mlete mwanao sisi tutahangaika na hayo maswali.
Tupigie au tuma request yako kwa whatsapp namba +255658152022 sasa.

24/08/2020

Karibu ujifunze lugha, ujiandae na mitihani au tuition.

Wasiliana nasi upate kuanza darasa mara moja
0658152022
[email protected]

___________________________________
#theteacherscenter #thetchr #tchr #teacher #english #esl #efl #ell #eal #kiswahili #swahili #spanish #french #tutoring #tutor #tuition #ielts #ieltstest #mwalimu #school #education #educateyourself #cambridge #ibo #necta

10/08/2020

TEACH WITH US

We are looking dor new members to join our team.
Want t join us? Please visit our website to apply.

https://thetchr.weebly.com/career.html

#teacher #tchr #thetchr #theteacherscenter #daresaalaam #teachersofinstagram #eslteacher #englishteacher #mwalimu #english #englishteacher #mathteacher #scienceteacher #primaryteacher #secondaryteacher

10/08/2020

TEACH WITH US

We are looking dor new members to join our team.
Want t join us? Please visit our website to apply.

https://thetchr.weebly.com/career.html

#teacher #tchr #thetchr #theteacherscenter #daresaalaam #teachersofinstagram #eslteacher #englishteacher #mwalimu #english #englishteacher #mathteacher #scienceteacher #primaryteacher #secondaryteacher

30/07/2020

EID MUBARAK

The Teacher's Center wishes you all a happy celebration of Eil ul Adha. I hope you join your families and enjoy the feast while giving thanks to God.

Art by @alephmade
______________________________
@the_tchr
#eid #eiduladha #eidmubarak #eiduladhamubarak #thetchr #family #celebrate #feastofsacrifice

01/07/2020

IELTS PREP BOOT CAMP

Happy to invite you to the IELTS Prep Boot Camp starting Jul 13.

▫️Practise all skills.
▫️Collab with other learners
▫️Guided Training & Self-study
▫️Experienced, Professional Trainers
▫️Much more.

REGISTER 👇
https://thetchr.weebly.com/ieltsbootcamp
#thetchr #IELTS #exams #studying #iletsprep #english #englishteacher #ieltstrainer #ieltstraing

03/06/2020

The Tchr's cover photo

03/06/2020

The Tchr's cover photo

03/06/2020

The Tchr

24/04/2020

The Tchr

15/02/2020

Using the micro:bit, these students came up with an idea to have a smart lighting system into Tz local housing. It's amazing how talented these kids are. Was great working with them. #microbit #hackathon

12/02/2020

#bbcmicrobit Earlier today, learning coding while having fun.

12/02/2020

#training
How exciting and fun coding could be.
Learning how to use #microbit
Soon to apply this in my classes.

Thanks @bbcmicrobit @microsoftedu

22/01/2020

My students are the best. 👻
Got me some gifts today. Seems like I don't have to buy a diary or calendar this time. 👍 #gifts #teacher

12/12/2019

When the term is over, we celebrate.
#english #learning #development #celebration

12/12/2019

End of year 2019
Much achieved, more to learn going 2020

26/09/2019

Last 5 weeks have been a blessing to me. I got a chance to work with these beautiful people. It was such a wonderful journey.

#mwalimu #teacher #esl #learning #graduation #success

instagram.com 16/10/2017

Instagram post by Mwalimu Paul Mndima • Oct 16, 2017 at 3:40pm UTC

SHAIRI: *AFYA NJEMA NI TUNU*

Nahesabu misumari, iliyoezeka paa hili
Najigeuza kwa tahadhari,… https://t.co/Q2vKsITxdL

instagram.com 0 Likes, 1 Comments - Mwalimu Paul Mndima (@paulsen_paul) on Instagram: “SHAIRI: *AFYA NJEMA NI TUNU* Nahesabu misumari, iliyoezeka paa hili Najigeuza kwa tahadhari,…”

instagram.com 11/09/2017

Instagram post by Mwalimu Paul Mndima • Sep 11, 2017 at 1:39pm UTC

SHAIRI: FUMBO

Fumbo fumbo,
Fumbua!
Fumbo mfumbie mjinga,
Mwerevu nitakuumbua.
Fuga mbwa,… https://t.co/cE4Wt4mfbM

instagram.com 12 Likes, 1 Comments - Mwalimu Paul Mndima (@paulsen_paul) on Instagram: “SHAIRI: FUMBO Fumbo fumbo, Fumbua! Fumbo mfumbie mjinga, Mwerevu nitakuumbua. Fuga mbwa, mpake…”

instagram.com 04/09/2017

Instagram post by Mwalimu Paul Mndima • Sep 4, 2017 at 2:42pm UTC

*BWANA AMETWAA*

Ulianza muwasho, tukakuna.
Kikawa kipele, tukaminya.
Hakikupasuka.
Kikawa jipu,… https://t.co/hxET0mlMYI

instagram.com 8 Likes, 2 Comments - Mwalimu Paul Mndima (@paulsen_paul) on Instagram: “*BWANA AMETWAA* Ulianza muwasho, tukakuna. Kikawa kipele, tukaminya. Hakikupasuka. Kikawa jipu,…”

mwalimu255blog.wordpress.com 30/08/2017

SHAIRI: NAFSI YANGU

SHAIRI: NAFSI YANGU https://t.co/pUPia27tg7 via @wordpressdotcom

mwalimu255blog.wordpress.com Nafsi yangu: Nafsi yangu nakupenda, Sinae mwingine ni wewe tu. Nafsi yangu nakujali. Nitafanya liwalo uridhike tu. Nafsi yangu nakuthamini. Nitafanya yote nikulinde tu. Nafsi yangu na…

mwalimu255blog.wordpress.com 30/08/2017

SHAIRI: JUMA AU JONI?

SHAIRI: JUMA AU JONI? https://t.co/vgnx7pYuv0 via @wordpressdotcom

mwalimu255blog.wordpress.com Juma au Joni? Si myahudi, si myunani Ni mwafrika, wa hapa nyumbani Joni au Juma, huyu tumwite nani? Baba mchaga, mama mdigo wa tanga, Matata bwana wachaga, mama jina keshapanga Joni au Juma, huyu t…

30/08/2017

Instagram post by Mwalimu Paul Mndima • Aug 21, 2017 at 8:07am UTC

SHAIRI: RAHA

KUSIKILIZA AUDIO , BOFYA… https://t.co/vDwaurLbNA

37 Likes, 1 Comments - Mwalimu Paul Mndima (@paulsen_paul) on Instagram: “SHAIRI: RAHA KUSIKILIZA AUDIO , BOFYA HAPA https://soundcloud.com/user-119727766/shairi-raha-…”

instagram.com 30/08/2017

Instagram post by Mwalimu Paul Mndima • Aug 21, 2017 at 7:26am UTC

SHAIRI

RAHA

Raha ya utungo kina,
Raha ya ndoa mwana,
Raha ya mwasho kuna,
Raha yangu… https://t.co/sAeOa9M936

instagram.com 61 Likes, 5 Comments - Mwalimu Paul Mndima (@paulsen_paul) on Instagram: “SHAIRI RAHA Raha ya utungo kina, Raha ya ndoa mwana, Raha ya mwasho kuna, Raha yangu kupendwa…”

twitter.com 30/08/2017

Arusha Poetry Club on Twitter

#onstage #reciting #poetry #apc https://t.co/32WZLVX5kW

twitter.com “@paulthegenius APC member recite his swahili poem SISI at KINASA ( KISWAHILI NA SANAA ) https://t.co/6OWSQ8n2k1”

mwalimu255blog.wordpress.com 10/04/2017

MTEMA KUNI

https://mwalimu255blog.wordpress.com/2017/04/10/mtema-kuni/

MTEMA KUNI

Mtema kasema, hodari yeye tangu mapema,

Panga mkononi lazima, ni hatari usijaribu mpima,

Makaliye pangale, hayasemeki asilani,

Atakaye akale, kuni kwake asikose habadani.Mtema kafyeka misitu, kafyerenga hadi chatu,

Haishi midomoni mwa watu, nyikani bila viatu,

Kachoronga hadi magogo, mtema hana wema na miti,

Kavuruga hadi mipingo, mtema ashindwe na vijiti?Mtema mungu mtu, miti imwone imwabudu,

Mtema ana nguvu huyu mtu, vichaka vyamsujudu,

Mtema mfalme wa kukata, hata mivule haimpi shaka,

Mtema bila hata ngata, tita kujitwika hana mashaka.Mtema kajisahau, kajawa na dharau,

Mtema angalau, avae kiatu cha sendeu,

Chaka kalivamia, mjanja yeye nakwambia,

Panga lake keshajinolea, kwa madaha kashambulia.Thalathini na kenda jana, arubaini leo kufikia,

Kwa juhudi huyu kijana, mabinti kuwaoneshea,

Wakipita kumsalimu, madaha azidisha kutema,

Si kushangaa aone utamu, lahaula mkono kautema.Mtema sasa si mtema tena, mtema sasa mtema tema,

Majuto jutia afanyeje tena, mjukuu kilema cha mapema,

Ama kweli ukilewa sifa, fedheha yakungojea kukulima,

Mtema hata leo akifa, tutamkumbuka k**a kilema.Wakiuliza nani kaandika haya, waambie ni Mwl. Paul Mndima

[email protected]

+255658152022

© Februari 2017

mwalimu255blog.wordpress.com   MTEMA KUNI Mtema kasema, hodari yeye tangu mapema, Panga mkononi lazima, ni hatari usijaribu mpima, Makaliye pangale, hayasemeki asilani, Atakaye akale, kuni kwake asikose habadani.   M…

[04/08/17]   Had spent all my day trying to record my poem "Nafsi yangu", soon it will be in audio and video.

Nimetumia siku nzima ya leo kurekodi shairi "Nafsi yangu". Tegemea kusililiza audio kutizama video siku za karibuni.

03/04/2017

VIDEO: NAFSI YANGU

VIDEO: NAFSI YANGU

Shairi hili nililisoma siku ya ijumaa 31 Machi 2017 kwenye usiku wa ushairi ulioandaliwa na Poetry 255 na kufanyika Soma Book Cafe. Nikiwa k**a mwanachama wa Arusha Poetry Club (APC) nilipata mwali…

03/04/2017

SHAIRI: NAFSI YANGU

SHAIRI: NAFSI YANGU

mwalimu255blog.wordpress.com Nafsi yangu: Nafsi yangu nakupenda, Sinae mwingine ni wewe tu. Nafsi yangu nakujali. Nitafanya liwalo uridhike tu. Nafsi yangu nakuthamini. Nitafanya yote nikulinde tu. Nafsi yangu na…

mwalimu255blog.wordpress.com 03/04/2017

SHAIRI: MIMI NDIO BABA, MWINGINE AWE NANI?

SHAIRI: MIMI NDIO BABA, MWINGINE AWE NANI?

mwalimu255blog.wordpress.com Mimi ndo baba mwengine awe nani? Shairi nawaandikia, enyi watu wa duniani, Baba muhimu kwa familia, sio mama tu mumthamini, Mimi ndio baba, mwengine awe nani? Mimi ndo baba, kichwa nyumban…

[02/24/16]   Ipo tofauti kati ya kusoma na kuelimika.

Videos (show all)

Unahijati mwalimu wa tuition kwa ajili ya watoto wako?Karibu The Teacher's Center kwa masomo ya English, science na math...

Location

Products

English Courses
Swahili Lessons
Exam Prep
Professional Skills
Communication Skills

Address


2 Mahando Street
Dar Es Salaam
Other Tutors/Teachers in Dar es Salaam (show all)
Success Ambassadors Network Tanzania Success Ambassadors Network Tanzania
Ubungo. Dar Es Salaam. #0682 953 193
Dar Es Salaam, P.O. BOX 76537 DSM, TANZANIA

At Success Ambassadors, we inspire, motivate and and help people how to find and learn new financial

RELO East Africa RELO East Africa
686 Old Bagamoyo Road Msasani Kinondoni District
Dar Es Salaam

The RELO Office based in Dar Es Salaam seeks to support English language education and knowledge of U.S. culture throughout the Eastern Africa region.

Jifunze Kiingereza Jifunze Kiingereza
Ilala Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

This page is created purposeful to help people learn and understand English.

Tino's English Class Tino's English Class
Tegeta, Near Kibo Commercial Complex, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

You will be taught how to: Speak English Write English Read English & Listen English at a very low cost. ***Mostly welcome***

Maez Habari Maez Habari
Dar Es Salaam

NEWS AND HEADLINES

Premium Tutors Premium Tutors
P. O. Box 14613
Dar Es Salaam, 255

We provide one on one home based tutoring services for various syllabuses. Please Contact us for more information.

Homeland Institute Of Media And Social Studies Homeland Institute Of Media And Social Studies
Dar Es Salaam

Homeland Institute of Media and Social Studies , is a training institution available in Tanzania, that offers media and other courses to equip students for their better carrier.