Najivunia kuwa Muislam

Najivunia kuwa Muislam DINI NI KUKUMBUSHANA ( KUNA SIHIANA)

Fuatilia MASHINDANO YA DUNIA YA QUR AN TUKUFU 2026 , UWANJA WA BENJAMINI WILIAM MKAPA , DAR ES SALAAM, TANZANIA TAREHE 5...
05/04/2026

Fuatilia MASHINDANO YA DUNIA YA QUR AN TUKUFU 2026 , UWANJA WA BENJAMINI WILIAM MKAPA , DAR ES SALAAM, TANZANIA TAREHE 5/04/2026.

Mgeni Rasmini Rais wa ZANZIBAR DR HUSSEIN ALLY MWINYI.

Mgeni Maalum IMAMU WA MSIKITI WA MAKKAH SAUDI ARABIA

https://www.youtube.com/live/OWLY2gBnKO0?si=fySdpUCdpNYDDDpx

Share , Subscribe, Comment.

AL AMEEN TV ...

Angalia Baraza la EID KUPITIA AL AMEE N TV
21/03/2026

Angalia Baraza la EID KUPITIA AL AMEE N TV

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Zakatul-Fitr  ni zaka inayotolewa mwishoni mwa mwezi wa Ramadhan kabla ya Swala ya Eid al-Fitr. 1. Lengo la Zakatul-Fitr...
14/03/2026

Zakatul-Fitr ni zaka inayotolewa mwishoni mwa mwezi wa Ramadhan kabla ya Swala ya Eid al-Fitr.

1. Lengo la Zakatul-Fitri

Hikma yake

Mtume ﷺ amesema:
عن ابن عباس رضي الله عنهما قال:
فرض رسول الله ﷺ زكاة الفطر طُهرةً للصائم من اللغو والرفث وطُعمةً للمساكين.
رواه أبو داود.

Maana yake:

Mtume ﷺ ameifaradhisha Zakatul-Fitri ili:
Kumsafisha aliyefunga kutokana na makosa madogo aliyoyafanya wakati wa kufunga.

Kuwasaidia maskini ili nao wapate chakula siku ya Idi.

2. Kiwango cha kutoa

Mtume ﷺ amesema:
فرض رسول الله ﷺ زكاة الفطر صاعًا من تمر أو صاعًا من شعير...
رواه البخاري ومسلم

Maana:
Mtume ﷺ amefaradhisha Zakatul-Fitri Saa moja (صاع) ya chakula.

Kiwango chake

1 Saa = takribani kilo 2.5 – 3 za chakula.

Chakula kinachotolewa hutegemea chakula kikuu cha watu wa eneo husika.

Mfano:

Mchele
Ngano
Mahindi
Tende

3. Ni nani anatakiwa kutoa
Zakatul-Fitri

Ni wajibu kwa
Kila Muislamu
Mwenye chakula cha ziada siku ya Idi

Hutolewa kwa ajili ya:

Nafsi yake
Watoto wake
Watu anaowalea

4. Muda wa kutoa
Wakati wa kutoa una ngazi tatu:

1. Wakati bora
Baada ya kuzama jua mwisho wa Mwezi Mtukufu Ramadhan mpaka kabla ya Swala ya Idi

2. Inaruhusiwa mapema

Siku 1 au 2 kabla ya Idi

K**a ilivyofanywa na Maswahaba.

3. Ikiwa atatoa baada ya Swala ya Idi

Mtume ﷺ amesema:
من أداها قبل الصلاة فهي زكاة مقبولة ومن أداها بعد الصلاة فهي صدقة من الصدقات
رواه أبو داود

Maana: Mwenye kutoa
Kabla ya Swala ya Idi itakuwa Zaka sahihi na Mwenye kutoa
Baada ya Swala inakuwa sadaka tu

5. Je inafaa kutoa pesa badala ya chakula?

Wanazuoni wamekhitalifiana:
Rai ya wengi

(Jamhuri ya wanazuoni)

K**a:
Imam Malik
Imam al-Shafi'i
Imam Ahmad ibn Hanbal

Wanasema:

➡️ Inatolewa chakula si pesa kwa sababu hiyo ndiyo aliyofanya Mtume ﷺ.

Rai ya baadhi ya wanazuoni
K**a:

Imam Abu Hanifa
Wanasema:

➡️ Inaruhusiwa kutoa pesa ikiwa ni manufaa zaidi kwa maskini.

Taasisi ya AL AMEEN FOUNDATION - AIF inakusanya na KUGAWA na ZAKKATUL FITRI kwa makundi Maalum.

WASILISHA Zakatul Fitri Yako Kupitia Namba za Simu

+255 715 800 772
+255 657 277 747

Matarajio siku ya KUGAWA ni Siku Moja Kabla ya EID

Asalaam alaikum Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani TAASISI YA AL AMEEN FOUNDATION AIF .Inapenda kukushirikisha wewe Mpe...
08/02/2026

Asalaam alaikum

Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani TAASISI YA AL AMEEN FOUNDATION AIF .

Inapenda kukushirikisha wewe Mpenda kheiri katika kuchangia PROGRAM HII MAALUM ya Iftar Kwa Makundi Maalum katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Matarajio kugawa iftar Awamu ya kwanza kabla Mwezi wa Ramadhani.

Vifaa ambavyo Tunavyo hitaji kukusanya

1.Mchele
2.Tambi
3.Unga Ngano
4.Maharage
5.Sukari
6.Mafuta
7.Tende n.k

Tuikimbilie kheiri hii.

Mawasiliano zaidi : 0715 800 772

ASalaam Alaikum warahamatu Llahi wabarakatu.Alhamdullilah Ile Shughuli ambayo tulikuwa tukii Tangaza Mwezi sasa Ni Leo A...
05/02/2026

ASalaam Alaikum warahamatu Llahi wabarakatu.

Alhamdullilah Ile Shughuli ambayo tulikuwa tukii Tangaza Mwezi sasa Ni Leo

ALHAMIS TAREHE 5/02/206

KUANZIA MAGHRIB - DUA
BAADA YA SWALA ISHA - MAULID BARAZANJI.

LOCATION :
https://maps.app.goo.gl/TnECCdPZHiuFhKqS6

KARIBUNI WAGENI WOTE

Mawasiliano zaidi :
0712 257 492
0713 526 494

MAPACHA WA MTUME

Al Ameen foundation - AIF

Find local businesses, view maps and get driving directions in Google Maps.

KARIBUNI Saana
02/02/2026

KARIBUNI Saana

13/01/2026
Zoezi la Ugawaji wa Vifaa vya Shule kwa watoto Yatima 2026 , *AL AMEEN FOUNDATION -AIF*LINAFANYIKA KIJITONYAMA ALIMAUA
10/01/2026

Zoezi la Ugawaji wa Vifaa vya Shule kwa watoto Yatima 2026 , *AL AMEEN FOUNDATION -AIF*

LINAFANYIKA KIJITONYAMA ALIMAUA

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

04/01/2026
03/01/2026
ASALAAM ALAIKUM CHANGIA VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO YATIMA ZAIDI YA 100 KUPITIA AL AMEEN Al Ameen foundation - AIF.MAWASI...
22/12/2025

ASALAAM ALAIKUM
CHANGIA VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO YATIMA ZAIDI YA 100 KUPITIA AL AMEEN Al Ameen foundation - AIF.

MAWASILIANO ZAIDI

0715 800 772

Address

Kijitonyama Ali Maua
Dar Es Salaam

Telephone

+255715800772

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Najivunia kuwa Muislam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Najivunia kuwa Muislam:

Shortcuts

Share

Category