23/02/2023
Fomu ya Maombi Kozi za Ufundi Bomba Majumbani, Ufundi Bomba Viwandani na Uchomeleaji kwa Chuo cha VETA Iringa, Singida, Dakawa na Mikumi inapatikana hapa.
Mafunzo yatafanyika katika vyuo vifuatavyo; Ufundi Bomba wa Majumbani- VETA Singida, VETA Mikumi, VETA Dakawa, VETA Iringa Ufundi Bomba wa Viwandani- VETA Dakawa Uchomeleaji - VETA Singida, VETA Mikumi, VETA Iringa Mwombaji atatakiwa kuwasilisha viambatanisho wakati wa kushiriki mafunzo chuoni: Chet...