22/08/2026
πΈ WEEK RECAP | KILIMANI SCHOOLS πΆπ«
Je, wimbo upi unakukumbusha parade enzi zako shuleni? π΅π
Parade siyo tu sehemu ya ratiba ya shuleβni sehemu ya kumbukumbu nzuri za maisha ya mwanafunzi. β€οΈ
Mwanafunzi mwenye furaha na anayeipenda shule huwa tayari zaidi kujifunza na kufikia malengo yake. πβ¨
Tujenge mazingira yanayowafanya watoto waipende shule, wafurahie kujifunza na wajivunie kuwa wanafunzi.
Kilimani Schools β Education is the Key of Life. π