14/12/2025
Vikao na vijana Kwenye Vijiwe vya Bodaboda /Kahawa/ na Michezo ya draft ili kuwasikiliza maoni yako na Kwanini wanadhani kuandamana ndio inaweza kua sulu hissi la hoja walizonazo. lakini vijana wengi wameonekana kua hawasapoti wala hawakubaliani na wanaharakati wanaohamasisha maandamano.
Nao wa mesela wanataka maisha ya haki, lakini pia na uhuru wa kufanya kazi huku na Wao wakihimizana kutimizia wajibu wao K**a wananchi. Vile vile wameomba viongozi waliopo madarakani kufanya kazi kWa bidii lakini kwa kuzingatia haki na sheria na sio kinyume chake . Tukifatisha kauli ya Mhe. Rais KAZİ NA UTU TUNASONGA MBELE kıla kiongozi azingatie Utu huku akichapa kazi Maendeleo ni Lazima nchini. Alinukuliwa kijana Othman iddi Dereva bodaboda