03/06/2025
SAUTI YA MTAA EP 4 IS AROUND THE CORNER ARE YOU READY π₯³π₯³ππΊ
Kwa mara nyengine tena
Sauti ya Mtaa show
Inakujia
Ikiwa ni msimu wa 4
Cha kufanya ni kimoja
Chukua ticket yako mapema pale Nilipe app
Then chill kiboss subiri showw ya Kwendaaa
Jinsi ya kupata tickets
1. Download/ fungua Nilipe App
2. Chagua Entertainment
3. Chagua ( jina la show)
4. Chagua namba ya ticket unazo taka kisha kamilisha malipo.
Kwa msaada wowote wasiliana nasi kupitia +255718639332/+255789881397.
Tukutane Little theater Masaki π₯³
got stories to tell.
app
C Africa π