Tanzania Law Forums

Tanzania Law Forums

Share

TLF (http://jabashadrack.blogspot.com/) a blog based in Tanzania with main focus on legal education, news and related contents.

03/03/2023

SAKATA LA FEI TOTO LIMENIPOTEZA KIIMANI.

sure 100% fedha mwana haramu...

Kweli wahenga walisema.... Pata fedha tukujue tabia zako .
ndo maana hela /pesa/fedha/noti/ faranga/chenji... Ita majina yote ilimuuza Yesu....

Kweli.... Kuna watu wanafanya kufuru Hadi Filauni anabaki mwanafunzi.

Yaan ulipwe 4M .. milioni 4... 4,000,000 / = kwa mwezi halafu ule ugali kwa sukari???

Halafu mtu huyo mla ugali kwa sukari usishangae Leo mapema anawahi sehemu ya mbele kusali!!

Na mfungo wa ramadhan atafunga pia!!!

Hii dunia hii ... Acha wazungu watulazimishe kuwa mashoga tu....
Maana Mungu wetu tumemgeuza k**a shemeji yetu.,.

FEI katubu kwa Mola wako..
Sasa sisi tunaolipwa laki 4 kwa mwezi tunakula nyasi Sasa ...
K**a 4M unakula ugali sukari.,...

Kumbe wengi tunaonekana watakatifu kwa kuwa hatujakutana na kitita cha fedha.

Halafu mla ugali kwa sukari anapata fedha ya kununua mkataba kwa Tsh 112M.....
Nyie watu nyie .......

02/03/2023

Group Standing After Gameweek 3.

30/04/2022
Photos 26/11/2017

BENE PRISTINE T-SHIRT KWA 20,000/= TU REJA REJA , BEI YA JUMLA 18,000/= FASTA PIGA /whatsapp 0713973282, Muonekano wako utakuraishia mengi!!!!!!!!

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dar Es Salaam