Mzumbe University-DCC

Mzumbe University-DCC Official Mzumbe University Students Organization (MUSO) Dar Es Salaam campus news page. "The Hub of Information"

Baraza la Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam (MUSO) – 2025/26
12/01/2026

Baraza la Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam (MUSO) – 2025/26









Baraza la Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam (MUSO) – 2025/26
12/01/2026

Baraza la Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam (MUSO) – 2025/26









Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Rais wa MUSO – DCC, Mh. Emmanuel Matondo
12/01/2026

Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Rais wa MUSO – DCC, Mh. Emmanuel Matondo









Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutoka kwa Rais wa MUSO – DCC, Mh. Emmanuel Matondo
12/01/2026

Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutoka kwa Rais wa MUSO – DCC, Mh. Emmanuel Matondo









Katibu Mkuu wa MUSO-DCC anawatakia wanafunzi wote mwaka wa mafanikio kimasomo, nidhamu na baraka tele.
01/01/2026

Katibu Mkuu wa MUSO-DCC anawatakia wanafunzi wote mwaka wa mafanikio kimasomo, nidhamu na baraka tele.








Heri ya Mwaka Mpya 2026 kwa wanafunzi wote.Waziri MkuuMUSO–DCC
01/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya 2026 kwa wanafunzi wote.

Waziri Mkuu
MUSO–DCC









HERI YA MWAKA MPYA 2026! ​Makamu wa Rais wa MUSO-DCC, Joyce Chrispine, anawatakia wanafunzi, wafanyakazi, na wadau wote ...
01/01/2026

HERI YA MWAKA MPYA 2026!

​Makamu wa Rais wa MUSO-DCC, Joyce Chrispine, anawatakia wanafunzi, wafanyakazi, na wadau wote heri ya Mwaka Mpya.









Spika wa bunge MU-DCC anawatakia Waheshimiwa Wabunge wote na wanafunzi mwaka uliojaa uthabiti, ustawi, na mafanikio.Heri...
01/01/2026

Spika wa bunge MU-DCC anawatakia Waheshimiwa Wabunge wote na wanafunzi mwaka uliojaa uthabiti, ustawi, na mafanikio.

Heri ya Mwaka Mpya 2026!









Heri ya Mwaka Mpya 2026!Rais wa MUSO - DCC , Mh.  Emmanuel Matondo, anawatakia wanafunzi wote wa Mzumbe mwaka wenye mafa...
01/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya 2026!

Rais wa MUSO - DCC , Mh. Emmanuel Matondo, anawatakia wanafunzi wote wa Mzumbe mwaka wenye mafanikio makubwa kitaaluma na katika maisha binafsi. Tuutumie mwaka huu kutimiza malengo yetu kwa bidii.









🎄 Merry Christmas & Happy New Year 2026! ✨Mzumbe University – Dar es Salaam Campus, through MUSO, wishes everyone a joyf...
25/12/2025

🎄 Merry Christmas & Happy New Year 2026! ✨

Mzumbe University – Dar es Salaam Campus, through MUSO, wishes everyone a joyful festive season and a successful New Year ahead!









Umoja na ushirikiano wa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kutoka Ndaki za Morogoro, Mbeya na Da...
13/12/2025

Umoja na ushirikiano wa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kutoka Ndaki za Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam, uliojitokeza wakati wa Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu Mzumbe.
📍 Mlimani City | 04.12.2025















Uongozi wa Marais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe wakionesha umoja na mshikamano katika kushiriki Mahafali...
11/12/2025

Uongozi wa Marais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe wakionesha umoja na mshikamano katika kushiriki Mahafali ya 24 Ndaki ya Dar es Salaam

➡️ Kulia: Mh. Samweli Chacha – Rais wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki Kuu Morogoro

➡️ Katikati: Mh. Emmanuel Mahondo – Rais wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam

➡️ Kushoto: Mh. Mifolino Hamisi – Rais wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya













Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mzumbe University-DCC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category